Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AFC Leopards just made 7.3m about 147m Tz money in a derby yesterday
View attachment 3288375
Kunyans at best 😂😂😂

1000051222.jpg




Imagine Timu kubwa wachezaji wanapozwa na laki 2 😂😂😂😂

Mashemeji Derby oyeee.

Nyie wehu mna matatizo.
 
In short Shabana FC wakikuja Tanzania will be the leading Teams with most gate collection revenue?😂😂😂.

Yanga get’s an average of Ksh2M per home match which translate to less than 10k spectors at Makwapa every match🤣🤣😂😂
😂😂 Kmmk nyang'au ni shameless
Yani unasema uongo ukijua kabisa ligi yenu Iko mbele ya tv zetu almost kila mechi
 
Leo nilikuwa bar fulani kuna channel waliweka ilikuwa inaonesha derby yao, aisee nilikaa kimya nikawa nasikiliza comment za wadau, ofcz wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza, mm nikawa nawaambia hizo ndiyo Simba na Yanga za Kenya, wengi wakawa wanasema mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo namna hii? Nikawaambia huo ndiyo uwanja wao mkubwa huko Kenya, wengi walishangaa sn na wakauliza mbona uwanja mbaya hivi? Alafu mbona timu zao zina jezi mbaya? Nikawaambia hiyo ya kijani inaitwa Gor mahia, jezi zao zimebuniwa na anayebuni jezi za Yanga, wengi wakaniambia ni jezi mbaya, nikawa sina jibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
90min shot on target 1
 
Back
Top Bottom