chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,308
- 45,107
Sema wajaluo filled the cowshed, mpira wenu ni ethnicity influenced kama siasa zenu tuKenyans have filled Nyayo Stadium for two consecutive weeks.
Gor Mahia Vs FC Leopards.
![]()
Sema wajaluo filled the cowshed, mpira wenu ni ethnicity influenced kama siasa zenu tuKenyans have filled Nyayo Stadium for two consecutive weeks.
Gor Mahia Vs FC Leopards.
![]()
Yani fukara ni fukara tu, sasa ksh75k ni Sawa na tzs 1,275,000 sasa hiyo ni pesa ndogo sn, only fukaraz can brag about it, kuna vitu ukiangalia unagundua kabisa una debate na mtu wa aina gn that's why nikampiga ban ku debate na mm, hana hadhi hiyo, background yake inaonekana mbovu sn.source au proof ya wee kuwa na uwezo wa kuingiza hiyo hela kwa siku. sababu hakuna kinachoverify wewe kuwa na hizo hela
Kavutiwa na sportpesa 😂😂😂😂
Kuna picha iliwekwa humu anamuuguza babaake, aisee nilishangaa sn. Kuna kitu nmegundua, hawa wanusa gundi wengi wa humu kazi zao ni za mtandaoni, ni kama wale wezi wa tuma humu jina litasoma Omary Awadhi, hawana kazi ya kufanya zaidi ya kushinda mitandaoni, ndiyo mana muda wote wapo jf, twitter, tiktok, insta etcAjabu kweli.. eti wewe pia unajiona una maana. 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
Leo nilikuwa bar fulani kuna channel waliweka ilikuwa inaonesha derby yao, aisee nilikaa kimya nikawa nasikiliza comment za wadau, ofcz wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza, mm nikawa nawaambia hizo ndiyo Simba na Yanga za Kenya, wengi wakawa wanasema mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo namna hii? Nikawaambia huo ndiyo uwanja wao mkubwa huko Kenya, wengi walishangaa sn na wakauliza mbona uwanja mbaya hivi? Alafu mbona timu zao zina jezi mbaya? Nikawaambia hiyo ya kijani inaitwa Gor mahia, jezi zao zimebuniwa na anayebuni jezi za Yanga, wengi wakaniambia ni jezi mbaya, nikawa sina jibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vichakani aisee
Hahahaaaaaa wewe ni kichaaa, usijisahau kwamba hii forum kuna watanzania humu sio Burundi, wacha aibu ndogo ndogo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe huogopi?? Mimi ni mkenya na nimeshtukaView attachment 3288106View attachment 3288107
Hako kasenge nilikuwa nakatesa sn miaka ya nyuma, mm naonesha nyumba yangu kenyewe kakawa kanasema hakawezi kuweka mambo yake mtandaoni kumbe hakana pesa, nilipoendelea kukapiga na kupost pesa kakaanza ku download pesa mtandaoni nikakastukia nikawa nakaita bwana mapesa, kakakimbia kakarudi nikawa nakatesa sn mpaka pale kalipopata kazi ya kuosha vidonda kakawa kana make miezi miwili kakipokea mshahara kanatupia jf, baadae nikagundua ni Ka fake so nikakapiga ban kudebate na mm lkn bado hakajaamini kama nimekaacha so huwa kananichokozachokoza ili tuendelee kubatle sema nimekakataa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hana huo uwezo na hata hiyo kazi hana , inshort ni unemployed
Na usikute keshawafuata watz wengi inbox akiomba fursa, bado kanajitafuta sema ni kajeuri kweli kweli.Huyo atakusumbua mzee hana mia mbovu huyo mbwa. Juzi juzi tu alikua ananisumbua DM kutaka kujua chupi za bei rahisi bongo. 🤣🤣🤣 we muache tu ajifurahishe.. usijishushie heshima kupigizana kelele na hiyo takataka.
Atakufuata kweli inbox, wakenya wako very aggressive kwenye pesa, hawana haya hao jamaa, siumeona alimfuata Sama boy 255 amuoneshe machimbo ya chupi za mtumba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣omba kazi sasa kama umekubali ni maskini
I now sympathize with the guy … something not right. He may need our rescue ..😁😁mwaiofhawaii huyu jamaa wako Kwani ako na Kiatu kimoja pekee?😂😂🤣😂
Hivi si ndio alidownload pesa kipindi fulani akapost humu kuwa ni zake! 😂😂😂Na usikute keshawafuata watz wengi inbox akiomba fursa, bado kanajitafuta sema ni kajeuri kweli kweli.
Bro!.. I can seriously start a GoFundMe account with my fellow Kenyans dedicated to you. Tutakununulia viatu. We are generous fellas. Uko na shinda . Sometimes it’s takes courage to accept your fate ..😁😁
Jokes aside, am very serious about this. Inbox me your address in Tanzania. I will buy you any Jordan shoes you choose . Just indicate color and size . I will ship it to you free . You can report that here after receiving the package 📦. That’s a promise I will keep . Dare me. Na sio madharauView attachment 3288004
mwaiofhawaii njoo ulione dundo jordan travis scott ndani ya bern na sina habari na mtu
Sema umeumia bongolalaYani hvi ndio vimradii vya kufurahia 🤔
azam amewasaidia sana hawa mbwa
View: https://www.instagram.com/reel/DH1EIcavkjh/?igsh=cnp2MTJoZTN0bHB4