Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is football

Image

Image
 
Hii Tanzania inayoongoza kwa umaskini ukanda huu and currently with the world's worst performing currency ana kuna Tanzania nyingine?
Sasa ngoja nikuongezee maumivu. Miradi yote mikubwa unsyoiona tunaifanya 95% wokers ni Tanzanians. 🤣🤣🤣 yaani kwa maneno mengine, kama tutarudia kuijenga tena, basi watanzania wazawa watajenga wenyewe. 🤣🤣🤣
 
95% ya kutoa mat*Koni. Can you prove this claim?
 
Back
Top Bottom