Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kwanini tupigizane kelele, weka mambo kwa ground. 🤣🤣🤣Streets zenu ambazo hata hua hazina parking ndio unataka tujilinganishe. Stop joking.
Kwanini tupigizane kelele, weka mambo kwa ground. 🤣🤣🤣Streets zenu ambazo hata hua hazina parking ndio unataka tujilinganishe. Stop joking.
Unatuonyesha streets with very little greenery, no parking and cycling lanes alafu unatuambia ni the best street in East Africa. 🤣 🤣 🤣 Tafadhali usikosee East Africa heshima.Kwanini tupigizane kelele, weka mambo kwa ground. 🤣🤣🤣
Japo wakuu wa mikoa siwalaamu kwasababu hawana mamalaka kivilee kwwnye miradi ya maendeleo ila Hakuna chochote cha. Maana alichofanya huyo makalaDar es Salaam ya Amos Makala ilianza kuvutia ikawa safi,biashara zilianza kuwa za mpangilio ila alipokuja Chalamila dash mambo yamebadilika ghafla
Yani unaikosea heshima EA namna hii .?🤣🤣🤣🤣 huu upumbavu ulinganishe vipi na posta ya sasa.? 🤣🤣🤣🤣Unatuonyesha streets with very little greenery, no parking and cycling lanes alafu unatuambia ni the best street in East Africa. 🤣 🤣 🤣 Tafadhali usikosee East Africa heshima.
![]()
Pandeni miti kwanza alafu muweke parking then we can talk.Yani unaikosea heshima EA namna hii .?🤣🤣🤣🤣 huu upumbavu ulinganishe vipi na posta ya sasa.? 🤣🤣🤣🤣
Pandeni miti kwanza alafu muweke parking then we can talk.
Yani unaikosea heshima EA namna hii .?🤣🤣🤣🤣 huu upumbavu ulinganishe vipi na posta ya sasa.? 🤣🤣🤣🤣
Hiki nini.? EA kwasasa levels zake ni za duniani huko. 👇🏾View attachment 3287170
Watanzania mna shida
Hii video ya Bertin imewatesa sana kunyarenda republic.🤣🤣👇🏾
View: https://youtu.be/X6NmEDOS1y0?si=FnkbeGt2kBPCMEzM. Angalia comment section. Mtu mmoja ame suggest Dar ipate metro kama zile za duniani. Bertin akamjibu plan ipo tukimaliza phase BRT phase 6. 👇🏾View attachment 3287188mbongo mmoja akamchallange Bertin 🤣🤣 mchizi akamjibu, chuki za mkenya (Fetiwap) hizi baada ya majibu ya Bertin 👇🏾🤣🤣🤣View attachment 3287189jamaa wanaumia sana wakiona tunaendelea. But why.? 🤣🤣
kipindi kile nilifinya nikaskia busha zimekua za moto kama pasi ya makaa😂😂Mwenyekiti muda ukifika we finya tu kama unvyofinyaga😂
Do you have a dancing fountain in Vumbistan?Ni Africa ipi enye mnazungumziaga.? Au there is a place called Africa in kenya .? 🤣🤣
Ni wivu ndio inakusumbua.Yani hvi ndio vimradii vya kufurahia 🤔