Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kijamaa kinajaribu kugusa gusa kila mahala kikidhani labda kuna sehemu atatoka mshindi. 🤣🤣🤣Kuna link kanipostia hapo nimefungua nimecheka sana. 😂😂😂
Sasa ni kapumbavu kwasababu kanadhani inawezekana eti league iwe nafasi ya nne Africa halafu kuwe na mapato hafifu..
sasa ingewezekanaje kuiendesha.? Wachezaji wa quality kubwa utawalipa vipi pasi na kuwa na fedha za kutosha.? Na hizo fedha zinatoka wapi kama si gates collections, mauzo ya jezi wadhamini.?