Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,919
- 33,191
Evidence ya nini? Unafaa uniulize evidence ya investing that amount, sio penye nimetowa pesa.mimi nina evidence wewe huna.
mimi ina operational licence ila wewe huna.
mimi nina kituo cha kazi au ofisi ya kuniingizia kipato na nin uwe wakwenda nikapiga picha popote ila wewe huna.