Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,985
- 27,996
Budget ya wachawi hata haifikii budget ya Kenya.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1905717422872834076
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1905717422872834076
Sasa kwenye picha ni gorofa zipi zinaonekana kwa karibu.? Au kuna GTC hapa.?So akina GTC hazifiki 15 floors? The likes of Britam, UAP, 88 Nairobi na Prism hazifi 15 floors. Ama unaongea tu because baboons were finally granted freedom of speech?
Budget ya wachawi hata haifikii budget ya Kenya.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1905717422872834076
Unadhani nani wanauziwa hizi magari? Dealership kama hii bongoslum huwezi pata ju purchasing power is so small. 🤣 🤣 The very few rich people in bongoslum prefer to do direct import ju it's almost impossible kupata such cars sold locally.Mzee clip za namna hiyo si zipo tu mitandaoni? Au unataka nkuletee pia za vijana wa bongo wamejirekodi na magari ya hivyo,
Kwani hujaona Kuna some old pickups zimepisha njia ili hao wa msafara wa show off wapite ?
So wewe huoni GTC hapo?Sasa kwenye picha ni gorofa zipi zinaonekana kwa karibu.? Au kuna GTC hapa.?View attachment 3286286ilimradi ubishe.? 🤣🤣
Tunagawa zingine na kuwapea kama donation.Halafu mnafanyia nini hii bajeti ater all.?
Hakuna hata gorofa moja yenye inapita 15 floors wacha ufala. 🤣🤣So wewe huoni GTC hapo?
Alafu the first building ni 20 floors incase hukuhesabu, nyuma yake ni 23 floors go the right is 15 floors.
Pambaneni kwanza na njaa wapumbavu nyie.Tunagawa zingine na kuwapea kama donation.
Sawa baboon.Hakuna hata gorofa moja yenye inapita 15 floors wacha ufala. 🤣🤣
Njaa gani na tunawauzia maziwa, nyama na sukari?Pambaneni kwanza na njaa wapumbavu nyie.
Tanzania hii hii ninayoijua mimi au kuna Tz nyingine.? 🤣🤣🤣 kwamba tunanunua nyama na sukari na maziwa from kenya.? 🤣🤣🤣Njaa gani na tunawauzia maziwa, nyama na sukari?
Ukishindwa unakimbilia utoto ili kuvuruga mada.? 🤣🤣🤣
Tanzania hii hii ninayoijua mimi au kuna Tz nyingine.? 🤣🤣🤣 kwamba tunanunua nyama na sukari na maziwa from kenya.? 🤣🤣🤣
Again sisi ndio tunaongoza kuwauzia msosi Africa nzima.
Niliahidi na nimetekeleza.
Hii ni upcountry bus terminal ya Nairobi
Hiv haya Magari ni ya 2025?
Na NairobiWalker mbona mwabadilisha maroli na canters kuwa buses?
Hii ni aibu kwa capital city kuwa na Usafiri wa namna hii. Halafu probox kibao za 2000s zimejaa Nairobi. Hizo hiace ni za mwaka gani?
Tazama hii video
View: https://youtu.be/laOuukHt7hw?si=KNy5cCpCashec6Ov
Picha zaidiView attachment 3286145View attachment 3286146View attachment 3286147View attachment 3286152View attachment 3286156View attachment 3286157View attachment 3286155
Soma historia . The stadium was built in the 80s for the 4th All African Games ( so track ni lazima just like an Olympic stadia)plus we are a running nation.Kumbe na nyie mnapenda running track nilifikiri ni sisi tuu
Serikali yetu sio ya wenda wazimu mzee.Soma historia . The stadium was built in the 80s for the 4th All African Games ( so track ni lazima just like an Olympic stadia)plus we are a running nation.
Talanta will be pure Football or Rugby kama Ulaya na Marekani ..
Btw … why keep on adding track lanes in your new stadiums ( you are not a running nation)
New Arusha iko nazo
New Dodoma iko nazo
Talanta will be the most amazing stadium in the region
By Cooked data assistanceYet balance of trade between Kenya and Tanzania always favors Kenya.