Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,577
Wamefilisika hadi mawazo pia
ππππππππππ Kuanzia ngazi, mlango na hata eneo lenyewe lilipo hilo dude ni Hatari π. Kwa kifupi hiyo ni silaha yenye ncha kali.
Wakati Mtanzania wa Kawaida atakua anaenjoy golden dragon xml6125cle. Mkundustan anayejiita tajiri bado yupo mavumbini na hajui π
Soon CNG Bus ( Blue golden dragon xml6125cle) Bus zitakua mitaa ya Dar . Huku wakundustan wakipata Tetenasi na rusted building material juu ya Chasis ya Fusoπ
View attachment 3286831