Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kima hata kama ni pipeline ndio tuonyeshee sehemu chafu kama na zenye slum za dar,acha story tunataka picha za dar kama hiziView attachment 3285627View attachment 3285626
Kama Alaska mwanangu 🤣🤣
gettyimages-1825440660-594x594.jpg
images - 2025-03-28T174728.897.jpeg
images - 2025-03-28T174252.456.jpeg
 
20 floors. Sky Royal Morocco Dar es Salaam coming up. 👇🏾
IMG_5942.jpeg
IMG_5940.jpeg
hii inajengwa pale nyuma ya morocco square.
 
🤣 🤣🤣

Sema Kenya wanafanyia Waafrika tuonekane Nyani, sasa Nini mlifanya hapa au ilikuwa ni opportunity ya Kuiba pesa ya umma
Najua kitandi unaumia? Siku makwapa itafikia Kasarani njoo tuongee😂😂🤣
 
Niliahidi na nimetekeleza.
Hii ni upcountry bus terminal ya Nairobi
Hiv haya Magari ni ya 2025?

Na NairobiWalker mbona mwabadilisha maroli na canters kuwa buses?
Hii ni aibu kwa capital city kuwa na Usafiri wa namna hii. Halafu probox kibao za 2000s zimejaa Nairobi. Hizo hiace ni za mwaka gani?
Tazama hii video

View: https://youtu.be/laOuukHt7hw?si=KNy5cCpCashec6Ov


Picha zaidi
IMG-20250327-WA0010.jpg
IMG-20250327-WA0015.jpg
IMG-20250327-WA0020.jpg
IMG-20250327-WA0011.jpg
IMG-20250327-WA0016.jpg
IMG-20250327-WA0014.jpg
IMG-20250327-WA0017.jpg
 
Hakuna construction inaendelea pale, hiyo ni render tu. Uzuri they have finally got an rendef for a 20 floor building😂😂
Wueeeehhh umeona vile ziko overpriced yet ni off-plan. Now I understand why investors are shying off.
 
Back
Top Bottom