Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila bongo bhana tunaweka record EA na tunaivunja wenyewe. Hili ndio lilikua daraja refu EA miaka michache iliyopita 🤣
IMG_5921.jpeg
na hili ndio daraja refu EA kwasasa. 👇🏾
IMG_5920.jpeg
unajua kuna kuwakimbiza halafu kuna kuwaburuza 🤣🤣 sisi kwasasa tunaburuza.
 
Hiyo faida waliyotangaza imetoka wapi sasa? Kunaaanza kuumana taratiiibuuuuu 🤣🤣 !!
ruto mjanja sana alichokifanya ameyatoa madeni yote ya KQ kwenye books za KQ akaziweka serekalini ndio ameona awadanganyie hapo 😂😂😂😂
 
sio zako sababu umeshindwa kuverify ulipozitoa ni kama ulivyozoea kupost picha baada ya kuziedit na kudai ni zako. ili tuamini ni zak inatakiwa utuoneshe chanzo chako cha pesa ambacho wewe huna, sasa unawzaje kupat 75k wakati huna kazi huna biashara huna hata ofisi kudalalia watu. otherwise we ni mwizi kwahiyo rudisha hela uliyowaibia watu sio yako
Unataka akwambie alipotoa pesa zake ndio ufanyie nini?
 
Back
Top Bottom