Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Actually, more tanzanians than Kenyans have brown teeth, especially in northern Tanzania.
Ushapiga mswaki
Screenshot_20250328_062929_Gallery.jpg
 
Slum ya dar inapatikana kwa ariel view tu?tunataka slum na uchafu kama huu,halafu toka juzi unaangaika google kutafuta slum ya dar ndio umepata hiyoView attachment 3285562let go chokoraa,hapo si kibera thenView attachment 3285563
Wewe ni kenge sana 😂😂. Ile picha ya Kibera iliyoleta hapa haikuwa aerial view? Alafu bongolala hiyo picha ya pili unayoita Korogocho ni Pipeline, tena ya miaka ya hukooo nyuma.
 
Wewe ni kenge sana 😂😂. Ile picha ya Kibera iliyoleta hapa haikuwa aerial view? Alafu bongolala hiyo picha ya pili unayoita Korogocho ni Pipeline, tena ya miaka ya hukooo nyuma.
Kima hata kama ni pipeline ndio tuonyeshee sehemu chafu kama na zenye slum za dar,acha story tunataka picha za dar kama hizi
downloadfile-48.jpg
downloadfile-30.jpg
 
So kwa akili yako ndogo unaona Tanzania ingeshida Morocco?🤣🤣🤣
Hiyo game hata ingeletwa uswazini makwapa stadium there's no way Tanzania could beat Atlas Lions
Mbona hukuongea kabla kama kweli una balls 🤣🤣🤣🤣
Btw, kesi ya Tanzania Vs Morocco haiwahusu, ile ilikuwa mechi ya wana afcon, tulikuwa tunapimana uwezo sisi afcon regular qualifiers.
 
Hiyo faida waliyotangaza imetoka wapi sasa? Kunaaanza kuumana taratiiibuuuuu 🤣🤣 !!
KQ ni shirika lenye matatizo mengi sn, hiyo ndege inaongoza kwa delays na cancellation, hakuna siku ikakosa delay au cancellation, usipopata delay au cancellation kwenye 483 basi jiandae 485, au 487 na wakati mwingine zotee, abiria wanaosafiri mbali hawapandi hiyo ndege mana hata compensation hawatoi wanadai shirika halina uwezo, yn KQ iko hoi, wanaishi kiujanja ujanja tu kama maisha yao yalivyo, na washukuru sn skyteam, la cvyo ingekuwa ishajifia zamani.
 
Back
Top Bottom