Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,176
- 35,525
Data za uhakika hawazitaki,ukiona kuna data wanayoisapoti basi ni ya kupikwa,hao kunyan ni maskini wa akiliSiku hizi hawataki kabisa kusikia Habari za battles 😂😂 sio kama zamani walikua wenyewe wanaforce battles, saivi ukiwaambia battle wanavanish kama spirit wameshajiona walipo.