Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tukiwambiaga 25% ya wakenya ni wehu wanaona tunawatukana
Hizo buses na barabara ndio hizi
Screenshot_20230718-055301.jpg
 
sio zako sababu umeshindwa kuverify ulipozitoa ni kama ulivyozoea kupost picha baada ya kuziedit na kudai ni zako. ili tuamini ni zak inatakiwa utuoneshe chanzo chako cha pesa ambacho wewe huna, sasa unawzaje kupat 75k wakati huna kazi huna biashara huna hata ofisi kudalalia watu.
Wewe endelea kuombana mapicha pole pole.
 
Hii nilikuambia was a samole that i googled. Wewe hasira zako za kuwa maskini pekeka mbali penye huwa unaomba mapicha😂😂🤣😂
then kubali hata hizo umekuwa ukituletea umekuwa ukifanya hivyohivyo na ndo maana huwez proof your source of income.
 
then kubali hata hizo umekuwa ukituletea umekuwa ukifanya hivyohivyo na ndo maana huwez proof your source of income
My source of income are interest from my investments and employment. So tell me, why are you begging for photos hiliudanganyane huku?😂😂🤣
 
My source of income are interest from my investments and employment. So tell me, why are you begging for photos hiliudanganyane huku?😂😂🤣
huna investment yoyote buana wla kazi huna hivyo umeshindwa kuprove ashawoooh. hata mkataba wa kazi huna. ulikuwa unabeg business licence yangu nikakuwekea operational licence ya investment yangu moja tu na picha juu, ila weweumeshindwa kuprove hata a single document ya kuprove uko nasource of income, kwahiyo huna hela
 
Back
Top Bottom