Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,049
- 33,278
Naona after kukupea somo Jana ulielimika🤣😂😂.kwanini zisitengeneze faida hasabaada kuwa wakopeshaji wakubwa w serikali. faida kubwa inatokana kuikopesha serikali ya kenya na sio kwa sababu ya kuwa na fisca policy nzuri
In short ni wakenya ndio wanakopesha serikali through the banks. Without Kenyans depositing their money where will those banks find funds to loan the government?