TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Yoo dumb as ***Bongo ni wasani wawili tu wanatambulika..ama watatu including venessa mdee
Yoo dumb as ***Bongo ni wasani wawili tu wanatambulika..ama watatu including venessa mdee
Hii ni battle, ukitema cheche lazima ujibiwe ...man to manSijui sababu yako kuu kunifatilia hivi.
Umemsahau darasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole wapo wengi wanafahamika sana na kukubalika hapo Kenya zaidi ya wasanii wenu ,hawa no mfano tu
Rayvan
Harmonize
Ladyjayd
Jux
Asly
Barnabas
Dimpoz
Mi huko kwenu nawakubali nyanshiski na marehemu sauti sol[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
nyumba ya mtoto wa bakhresa (azam) na magari yake sidhani kama nyumba kama hii ipo east and central africa
😀😀😀😀😀
Cha muhimu, Kenya walitoka LDC wakawaacha Watanzania huko.Kenya ni lower middle income economy,mko kwenye borderline
mnahitji misaada ata chakula Hamna cha kujitosheleza,Na nchi nyingi ulizotaja apo wengine wako kwenye upper middle economy ambayo hamfiki ata baada ya 30 yrs to come,Ni kesho kutwa tutakua wte lower middle economy...na msishangae mmebaki nyuma
sijui kama kuna nyumba kama hii Africa mashariki na kati 😀😀😀😀😀Wasije wakadhani hapo nyumban kwa mayweather ....wakenya hapo ni nyumban kwa mtoto wa bakhresa tanzania aya toeni ushamba kidogo
Tutakuja you know!!ktk jambo la msingi mlilofanya ni ilo, yote yanawezekana ukifnya kazi kwa bidii hakuna shortcutsCha muhimu, Kenya walitoka LDC wakawaacha Watanzania huko.
Usisahau koungeza LDC tano hivi ikiwemo Tanzania for a better Grade.Huwa nipo interested zaidi na top five countries duniani zenye njaa kali na umasikini sana, ambazo ni Yemen, Somalia, Kenya, South Sudan na Ethiopia, ninaandika thesis yangu on these
Ngoja waje watakwambia mbona hayo magari kenya ya kumwagaaa...yaan hii mikenya sifa sijui yataacha linisijui kama kuna nyumba kama hii Africa mashariki na kati 😀😀😀😀😀
"Tuta" wakati sisi "Tuli"- shatoka huko.Tutakuja you know!!ktk jambo la msingi mlilofanya ni ilo, yote yanawezekana ukifnya kazi kwa bidii hakuna shortcuts
Good for yoo"Tuta" wakati sisi "Tuli"- shatoka huko.
It doesn't matter the issue is to archive"Tuta" wakati sisi "Tuli"- shatoka huko.
Vigezo vinavyotumika ni nchi lazima iwena njaa kali, above 40% ya population below poverty line na insecurity, Tanzania is far away out of theseUsisahau koungeza LDC tano hivi ikiwemo Tanzania for a better Grade.
Itawachukua miaka mingi kupata stadium ya kisasa kama yetu...tumeanza itumia zaidi ya miaka 10 imeshapita bado hamjiongezi
Muhimu zaidi ni chakule kifike mezani, doesn't matter which group you are inCha muhimu, Kenya walitoka LDC wakawaacha Watanzania huko.
sijui kama kuna nyumba kama hii Africa mashariki na kati 😀😀😀😀😀
Archive what?It doesn't matter the issue is to archive
Middle income economy statusArchive what?