BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,049
- 2,542
Hapa ata event ya ksh 10,000 inakuwa sold out a month earlier.
na AY😀😀😀😀Bongo ni wasani wawili tu wanatambulika..ama watatu including venessa mdee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole wapo wengi wanafahamika sana na kukubalika hapo Kenya zaidi ya wasanii wenu ,hawa no mfano tuBongo ni wasani wawili tu wanatambulika..ama watatu including venessa mdee
Hahaha kwanza kenya middle class ni large than (uganda,rwanda,tanzania,burundi,s.sudansomalia)combine.Ya Tanzania hayanihusu nashangaa ya Kenya yanakuhusu vipi unless ni wivu kama Barbarosa alivyoelezea humu JF.
Kwanini hiyo pesa msimpe Wahuu na Namless na wasanii wengine wa Kenya wanalalamika kwamba mnatoa support kwa wageni pekee, ninyi watu wenye akili ndogo, kulipa millions of $ kwa Chriss Brown na Diamond who already are very rich.Huku kuna pesa ,si kama hapo kwenu niliona ati event ni ksh.500 na bado si sold out.
Pia inafaa ujue msani wa bongo akikubalika kenya ameshapenya Kabisa...eg Ali kiba na Diamond.
wenye najua na kuskia
Yaan na Tanzania tulivyo na population kubwa zaidi yao lakni still wametuzidi percentage za poverty hahahhah wazee wa uchum wa kwenye makaratasi43%Kenyans below poverty line, TZ only 23%,
How do you define a middle class?Hahaha kwanza kenya middle class ni large than (uganda,rwanda,tanzania,burundi,s.sudansomalia)combine.
Jamaa gani unaemsema hahahahha hebu msaidien msaani wennu hata mmoja tuone nyoko nyie hahahahhHaha Kenya imesaidia huyo jamaa sana
Inakuwa sold out only if is Diamond, Kiba or Chris Brown, not Wahuu, Nameless, Prezoo, Juguar and Akothee..stupidHapa ata event ya ksh 10,000 inakuwa sold out a month earlier.
Shows zote za kina Nameless,sauti sol,victoria kimani huwa sold out na si ksh.500 kama huko kwenuKwanini hiyo pesa msimpe Wahuu na Namless na wasanii wengine wa Kenya wanalalamika kwamba mnatoa support kwa wageni pekee, ninyi watu wenye akili ndogo, kulipa millions of $ kwa Chriss Brown na Diamond who already are very rich.
Madhara ya kulewa asubuhi ...punguza kulewa buddaSauti Sol wako juu sana hawawezi piga Vida south africa
Kwanza hakuna msanii anaimba sense east africa yote kama nameless..Inakuwa sold out only if is Diamond, Kiba or Chris Brown, not Wahuu, Nameless, Prezoo, Juguar and Akothee..stupid
Ungejitahidi zaidi kujua mambo ya LDC wenzenu kama vile Zambia,Mozambique, Malawi, Uganda, Zambia, DRC, CAR, Somalia, Liberia, Sierra Leone, Mauritania, Niger, Chad, Afghanistan na Benin. Kenya hapo kwenye Hii ligi mbali tupo na kina South Africa, Namibia, Botswana, Nigeria, Tunisia, Morroco, Egypt, Mauritius, Bulgaria, Brazil, Uruguay, na wengine mashuhuri.Mbona hata ya huko kwenu hujui kitu?, akili zenu ni ndogo sana kuweza kujifunza na kujua mambo mengi ya dunia
Kwenda ukalale Kibera wewe, Victoria Kimani kila siku analalamika kwamba hapo Kenya hapati pesa yoyote hadi aende Nigeria ndiyo anapata pesa ya kula, anasema Kenya inathamini zaidi mziki wa Jamaica, USA, Nigeria na TanzaniaShows zote za kina Nameless,sauti sol,victoria kimani huwa sold out na si ksh.500 kama huko kwenu
Hell gadamnnnnn noooooo62% of GDP is owned by 8300 people, out of these 62% are foreigners who own 62% of total GDP which is owned by 8300 people.
1) Calculate percentage of people who die of hunger daily
2)What is the rate of people who migrate from better houses to Slums per year?
3)Should these citizens allowed to enter a country full of milk and honey by just using their ID(kipande)?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nameless is educated nothing more nothing less.Kwanza hakuna msanii anaimba sense east africa yote kama nameless..
Naskia diamond analipiza shows zake bongo bei za madafu.
Sijui sababu yako kuu kunifatilia hivi.Nikufate una pussy?
Kenya ni lower middle income economy,mko kwenye borderlineUngejitahidi zaidi kujua mambo ya LDC wenzenu kama vile Zambia,Mozambique, Malawi, Uganda, Zambia, DRC, CAR, Somalia, Liberia, Sierra Leone, Mauritania, Niger, Chad, Afghanistan na Benin. Kenya hapo kwenye Hii ligi mbali tupo na kina South Africa, Namibia, Botswana, Nigeria, Tunisia, Morroco, Egypt, Mauritius, Bulgaria, Brazil, Uruguay, na wengine mashuhuri.
Huwa nipo interested zaidi na top five countries duniani zenye njaa kali na umasikini sana, ambazo ni Yemen, Somalia, Kenya, South Sudan na Ethiopia, ninaandika thesis yangu on theseUngejitahidi zaidi kujua mambo ya LDC wenzenu kama vile Zambia,Mozambique, Malawi, Uganda, Zambia, DRC, CAR, Somalia, Liberia, Sierra Leone, Mauritania, Niger, Chad, Afghanistan na Benin. Kenya hapo kwenye Hii ligi mbali tupo na kina South Africa, Namibia, Botswana, Nigeria, Tunisia, Morroco, Egypt, Mauritius, Bulgaria, Brazil, Uruguay, na wengine mashuhuri.