joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huyo mropokaji hana data usijisumbuehaya niletee official link na mm nikuletee ya dar port😀😀😀😀
Huyo mropokaji hana data usijisumbuehaya niletee official link na mm nikuletee ya dar port😀😀😀😀
Kelele ambazo mnapenda kusikiliza na kuzitafuta kwa Kenyan Section of JF. Ushawahi niona nikichangia kwa Tanzanian Politics?Nyie kelele tu hamna kitu kamtishe asiekujua
Nani akufatilie ww sasa ata unge engege kila sectionKelele ambazo mnapenda kusikiliza na kuzitafuta kwa Kenyan Section of JF. Ushawahi niona nikichangia kwa Tanzanian Politics?
62% of GDP is owned by 8300 people, out of these 62% are foreigners who own 62% of total GDP which is owned by 8300 people.Infact Kenya's case is better 90% of your GDP is owned by 1%....62% is your value...Kenya is way ahead of tz in everything
Engage,Jf ni ww na time yako hakuna restriction popote brahNani akufatilie ww sasa ata unge engege kila section
Huna akili ya kuweza kuchangia katika politics ya nchi nyingine yoyote ile, hata Kenya yenyewe mambo mengi unayajua kupitia watanzania, ukiondoa ukabila, rushwa na slums, what else do you know about Kenya?Kelele ambazo mnapenda kusikiliza na kuzitafuta kwa Kenyan Section of JF. Ushawahi niona nikichangia kwa Tanzanian Politics?
Hujaleta ya 10 million tonnes Zanzibar na mtwarahaya niletee official link na mm nikuletee ya dar port😀😀😀😀
Haha the day you learn to say the truth lets argue62% of GDP is owned by 8300 people, out of these 62% are foreigners who own 62% of total GDP which is owned by 8300 people.
1) Calculate percentage of people who die of hunger daily
2)What is the rate of people who migrate from better houses to Slums per year?
3)Should these citizens allowed to enter a country full of milk and honey by just using their ID(kipande)?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Please calculate those percentages, or just reply number 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha the day you learn to say the truth lets argue
Ya Tanzania hayanihusu nashangaa ya Kenya yanakuhusu vipi unless ni wivu kama Barbarosa alivyoelezea humu JF.Huna akili ya kuweza kuchangia katika politics ya nchi nyingine yoyote ile, hata Kenya yenyewe mambo mengi unayajua kupitia watanzania, ukiondoa ukabila, rushwa na slums, what else do you know about Kenya?
Pia mimi hushanga,Kelele ambazo mnapenda kusikiliza na kuzitafuta kwa Kenyan Section of JF. Ushawahi niona nikichangia kwa Tanzanian Politics?
Ujinga tu....Please calculate those percentages, or just reply number 3 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona hata ya huko kwenu hujui kitu?, akili zenu ni ndogo sana kuweza kujifunza na kujua mambo mengi ya duniaYa Tanzania hayanihusu nashangaa ya Kenya yanakuhusu vipi unless ni wivu kama Barbarosa alivyoelezea humu JF.
Naona ukinifata fata.Nani akufatilie ww sasa ata unge engege kila section
Nikufate una pussy?Naona ukinifata fata.
Hahahahahahah... COLLOHUjinga tu....
Huku kuna pesa ,si kama hapo kwenu niliona ati event ni ksh.500 na bado si sold out.Huko kuna pesa za dezodezo acha aje kupiga mpunga asepe artists wenu ni wapuuzi sana kuliko upuuzi wenyewe na vile mmekataa kuwa support ndio basi tena ,subiri kidogo utasikia gigy money na ambalulu wana kuja kupiga show hapo Nairobi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua Mwanza ngapi?Mbona hata ya huko kwenu hujui kitu?, akili zenu ni ndogo sana kuweza kujifunza na kujua mambo mengi ya dunia
Kama kuna pesa mbona wasanii wenu hawana cha maana kuwazidi wabongo?mbona hamwakubali wa kwenu?Huku kuna pesa ,si kama hapo kwenu niliona ati event ni ksh.500 na bado si sold out.
Pia inafaa ujue msani wa bongo akikubalika kenya ameshapenya Kabisa...eg Ali kiba na Diamond.
wenye najua na kuskia
Bongo ni wasani wawili tu wanatambulika..ama watatu including venessa mdeeKama kuna pesa mbona wasanii wenu hawana cha maana kuwazidi wabongo?mbona hamwakubali wa kwenu?