Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni vile tu ule uwanja ni mdogo tunaweza sema maybe tuone kama watakimbiza ila by now ilitakiwa ile stage ya arusha ndo viwanja vyote viwe, kwa lugha nyepesi saaahv inatakiwa unafanya finishing baada ya mwezi wa 12 ndo final hakuna extension tena

also yule waziri wa michezo wa kenya alisafiri kwenda rwanda kuomba viwanja vyake vitumike kama training pitch, ukijumlisha ule uwanja wa ngong nao ndo kwanza wanarudia tena kupanda nyasi 😭 😭 😭 😭
Viwanja wa Fumba na Arisha havijaanza kujengwa wakati mmoja! Wacha kuropoka!
 
Back
Top Bottom