ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
archive food, employments, guaranteed security, house 😀😀😀😀😀😀😀Archive what?
archive food, employments, guaranteed security, house 😀😀😀😀😀😀😀Archive what?
Kwanini hiyo pesa msimpe Wahuu na Namless na wasanii wengine wa Kenya wanalalamika kwamba mnatoa support kwa wageni pekee, ninyi watu wenye akili ndogo, kulipa millions of $ kwa Chriss Brown na Diamond who already are very rich.
Vigezo vinavyotumika ni nchi lazima iwena njaa kali, above 40% ya population below poverty line na insecurity, Tanzania is far away out of these
tena mwambie si hatutaki ya kwenye karatasi tunataka tuwe real middle income ambayo ni relevant na maisha ya watu sio ka waoMiddle income economy status
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nameless and Wahu just like many other Kenyan musicians are into corporate events and sponsorship management big time! They don't need to strut their stuff on stage every now and then for a living. They've made their names already and moved on to bigger things. Once in a while they stage charity concerts to give back to the society. That's how progress is gauged!
archive food, employments, guaranteed security, house 😀😀😀😀😀😀😀
Yaan na Tanzania tulivyo na population kubwa zaidi yao lakni still wametuzidi percentage za poverty hahahhah wazee wa uchum wa kwenye makaratasi
Kwahiyo inawezekana walikosea kuiweka Kenya huko iliko, kwasababu more than 43% ya population is below poverty line, more than 3M Kenyans are dying from hunger, 48% unemployment rate, insecurity 45% of children with malnutritionA country is classified among the Least Developed Countries if it meets three criteria:
Poverty – adjustable criterion based on GNI per capita averaged over three years. As of 2015 a country must have GNI per capita less than US $1,035 to be included on the list, and over $1,242 to graduate from it.
Human resource weakness (based on indicators of nutrition , health,
education and adult literacy ).
Economic vulnerability (based on instability of agricultural production, instability of exports of goods and services, economic importance of non-traditional activities, merchandise export concentration, handicap of economic smallness, and the percentage of population displaced by natural disasters).
pumzika upambane na hali yako😀😀😀😀😀😀😀😀archive
noun
a collection of historical documents or records providing information about a place, institution, or group of people.
verb
place or store (something) in an archive.
Kizungu-mkuti kwa watanzania, perhaps you meant Achieve...?pumzika upambane na hali yako😀😀😀😀😀😀😀😀
Hahaahh wewe ndio unawajua pekee na wakenya washamba wa vijijinj....[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole wapo wengi wanafahamika sana na kukubalika hapo Kenya zaidi ya wasanii wenu ,hawa no mfano tu
Rayvan
Harmonize
Ladyjayd
Jux
Asly
Barnabas
Dimpoz
Mi huko kwenu nawakubali nyanshiski na marehemu sauti sol[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hawawezi kosea Mara tatu...kubali tuuu mko LDC kaka ila mjitahidi kama sisi muweze kujikwamua na hata mukiweza andaeni Kongamano na wana- LDC pale Lilongwe Malawi mpate suluhu ya pamoja maana Mko Nchi thelathini na tatiKwahiyo inawezekana walikosea kuiweka Kenya huko iliko, kwasababu more than 43% ya population is below poverty line, more than 3M Kenyans are dying from hunger, 48% unemployment rate, insecurity 45% of children with malnutrition
Hii stadium iliundiwa kondoo ama....
sio 43 bro ni 48% na ni link ya 2017😀😀😀😀😀Kwahiyo inawezekana walikosea kuiweka Kenya huko iliko, kwasababu more than 43% ya population is below poverty line, more than 3M Kenyans are dying from hunger, 48% unemployment rate, insecurity 45% of children with malnutrition
pole kwa hasira bro😀😀😀😀😀😀Hii stadium iliundiwa kondoo ama....
haijawapeleka Afcon,hakuna medali mmepata olympic,rugby sijawahi kuwaona,volleyball pia ni butu,netball ndio usiseme....hiyo stadium ni concrete structure without anything good out of it.
Number of Kenyans going hungry doubles to three millionHawawezi kosea Mara tatu...kubali tuuu mko LDC kaka ila mjitahidi kama sisi muweze kujikwamua na hata mukiweza andaeni Kongamano na wana- LDC pale Lilongwe Malawi mpate suluhu ya pamoja maana Mko Nchi thelathini na tati
u(33) zinazovuta Africa nyuma.
So wakenya ndio mmewapandisha mond na kiba ????? R u mad ???Hahaahh wewe ndio unawajua pekee na wakenya washamba wa vijijinj....
mimi najua ali na diamond pekee.
Bila support ya wakenya sidhani kama wangefika mahali wako...kuna siku niliattend event hapo May ya Ali kiba Minnesota,meneapolis city nilishanga kuona kumbe ni wakenya walikuwa wengi kama wote
makosa ya uandishi ni jambo la kawaida sana, grow upKizungu-mkuti kwa watanzania, perhaps you meant Achieve...?
Dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa umenichekesha dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawawezi kosea Mara tatu...kubali tuuu mko LDC kaka ila mjitahidi kama sisi muweze kujikwamua na hata mukiweza andaeni Kongamano na wana- LDC pale Lilongwe Malawi mpate suluhu ya pamoja maana Mko Nchi thelathini na tati
u(33) zinazovuta Africa nyuma.
Ukiona hivyo ujue kisu cha ngariba kimemuingia, pigilia msumari usimpe nafasi akachomokamakosa ya uandishi ni jambo la kawaida sana, grow up