joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
REVEALED: Why Most Degree Holders in Kenya are Poor and Will Remain That WayHawawezi kosea Mara tatu...kubali tuuu mko LDC kaka ila mjitahidi kama sisi muweze kujikwamua na hata mukiweza andaeni Kongamano na wana- LDC pale Lilongwe Malawi mpate suluhu ya pamoja maana Mko Nchi thelathini na tati
u(33) zinazovuta Africa nyuma.
Kwa hali hii mnataka tuwaruhusu muingie Tanzania kwa kutumia IDs mje kunywa maziwa na asali yetu?