REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Huyu chizi hata macho yake yote ni ya kushoto.
16. Bahati Affordable Housing, $10M
Total is now $1.115B
View: https://x.com/BiancaNaom1/status/1895480792060760135
Ujenzi umeanza ama unaongelea renders?wewe unatakuwa una matatizo makubwa ya akili! Unajua one billion dollar lakini? Acheni uongo uongo. Tupe jina la project nzima tutafute thamani yake.
Hii ni Amber Resort Zanzibar ni over $1.5B ona jinsi ilivyo na fananisha na vigorofa vyenu uchwarwa mnadai eti ni $1.1B. Kuna Hospital mpaka airport.
View attachment 3279233
View attachment 3279235
View attachment 3279237
8. A Lego Usonga Affordable Housing Siaya, $20M
Total is now at $650M
View: https://x.com/ray_omollo/status/1900050695484592602
7. Makasembo affordable Housing Kisumu, $30M.
Total is now at $626M.
View: https://x.com/AnyangNyongo/status/1829499293931102316
Huyo mkenya wa kukatwa hela yuko wapi? Kama hawa gikuyu ambao mnasema ndio matajiri Africa wanauana huku sababu ya chukula cha mifugo msaada wa China? Mliowadhulumu northerners 😅😅😅😅So siku hizi serikali ya Kenya ni warabu? Mmezoea kutawaliwa na warabu hadi unadhani kila nchi ni Kama Tanzania. Every single Kenyan is financially contributing to Affordable Housing. For me every month I’m contributing close to 5 Cements for Affordable Housing.
😂😂😂 Mkundustan goal lake ni kuunda sentence 2 za kiingereza hata zikiwa ungrammatical na accent ya kikisii he's done 😂Nakumbuka ilitokea moja hapa kwetu ya USA tuwalishe pamoja kilichotokea watu walitukana hadi Bashe akalitolea ufafanuzi kama kuna mtu anahitaji kusaidia watu anunue chakula Tanzania na sio kukitoa nje ya nchi hawa mbuzi wa kibera wanakula mchere wa plastiki masikini ni masikini tu hata ajitutumue vipi ukweli utabaki palepale
Ko tayari mmejenga nyumba 370k? 😂😂😂😂 Hata 5k bado labda miaka 60
Kenya sgr yao ni 3 billion na yote hiyo ni pesa ya mchina, lamu port ni 500 million usd, LAPSSET kwisha, mwambie akuoneshe project nyingine LAPSSETsasa umeamini kuwa tanzania si giant kuliko nyinyi. kama project moja ya gas inaweza beba dhamani ya miradi yote ya LAPPSET ikiwamo bandari, airports, railway na the like . tukiweka sgr mtwara songea, mchuchuma project , sgr dar-mwanza si tunaweza nunua kenya nzima mpaka hela ya posa kwa kia mwanamke wa kikenya tukapata
Wewe tulia ukule doze.
I hope uko na Calculator.
Mukuru Kwa Njenga $116M
Total za Hizo mbili ni ngapi so far ?
View: https://x.com/Goddie_Ke/status/1731244365840855391
Mpumbavu kweli wewe chizi 🤔 hizi figures unazichomoa tu matakoniUnasahau Konza project is $14B? Hakuna kitu mnaweza tuambia when it comes to valuable projects😂😂
Starehe Point is $155M project, Kama hupendi nyamaza.
View: https://x.com/SuleimanShahbal/status/1632766463097417736
Anapachika tu figure hakuna source yoyote ya maana anaongeza tu 😂😂😂naona unaongeza 3m usd ili ujaze ioneke nyingi au sio na most of ur projects kuna wizi wa kufa mtu 😂😂😂😂😂 project ya 2b ksh si ajabu wanasema 3b huku 1b inaenda kwa wenye matumbo yasioshiba alaf nyinyi wajinga munakaa kushangilia
Amahoro version 2.
Hawaja comment kuhusu marcopolo G7 mpaka leo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tiwagesi na wenzake wakiangalia basi za BRT G7View attachment 3278899View attachment 3278901
Angalia hilo hole apo kati ya mapaja alafu angalia hiyo mikono, huyo mtu au skeleton 🤣🤣🤣🤣🤣