Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeoga leo?
downloadfile-270.jpg

Umekula?
 
20241120_110958.jpg
1741886299935.jpg

Endelea kushanga bas zetu za BRT umesema mnaziunda hebu nionyeshe kama hizo hapo kibera,Nasikia raha unavyoteseka na maendeleo ya Tanzania
Bye bye everyone 👋 👋 👋 👋

Watchman Nicxie jamaa karudi tena bhn, ila sasa kaja kwa style nyingine 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3278230View attachment 3278222
View attachment 3278231
My take: Makenya yameumia mpaka yameshindwa japo kukoment 🖕🖕🖕🖕🖕🖕

Tushangae basi zenye tunawezaunda Kenya? Akili yako ni mzuri kweli?
 
Kumbe LAPSSET cost is now $30B, thanks from correction 😂😂
sasa umeamini kuwa tanzania si giant kuliko nyinyi. kama project moja ya gas inaweza beba dhamani ya miradi yote ya LAPPSET ikiwamo bandari, airports, railway na the like . tukiweka sgr mtwara songea, mchuchuma project , sgr dar-mwanza si tunaweza nunua kenya nzima mpaka hela ya posa kwa kia mwanamke wa kikenya tukapata
 
kama project moja ya gas inaweza beba dhamani ya miradi yote ya LAPPSET ikiwamo bandari, airports, railway na the like . tukiweka sgr mtwara songea, mchuchuma project , sgr dar-mwanza si tunaweza nunua kenya nzima mpaka hela ya posa kwa kia mwanamke wa kikenya tukapata
Ebu tuonyeshe progress ya hiyo project, ama unaongelea ndoto?😂😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom