Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargass NairobiWalker mtueleze ufafanuzi why chakula ndio kinawanunua wananchi, na wananchi wenyewe wapo ndani ya DATA NYINGI MNAMWAGA humu.

Namna gani huko?
Leo tulisema hawataonekana hapa kitu marcopolo kimetua dar kinawaumiza kichwa usd 450,000 per unit kwa unit 40 tu zinazid miradi yao yote ya industrial park
 
Image
 
Do you really know Centum? They can single handedly build Dar from scratch up to where it is currently.

Do you really know Centum? They can single handedly build Dar from scratch up to where it is currently.
Haha nani alikwambia hawako Tanzania, wapo sana ila sisi hatushoboki nao maana ni private entity na hapa tunadiscuss project za serikali. Haya wamejenga Nini Nairobi cha kutisha
 
Hizo affordable housings tu almost zote ni waarabu
So siku hizi serikali ya Kenya ni warabu? Mmezoea kutawaliwa na warabu hadi unadhani kila nchi ni Kama Tanzania. Every single Kenyan is financially contributing to Affordable Housing. For me every month I’m contributing close to 5 Cements for Affordable Housing.
 
Haha nani alikwambia hawako Tanzania, wapo sana ila sisi hatushoboki nao maana ni private entity na hapa tunadiscuss project za serikali. Haya wamejenga Nini Nairobi cha kutisha
Centum hawako Tanzania wewe Malaya. Centum activity is only concentrated in Kenya and Uganda.
 
Back
Top Bottom