Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

naona unaongeza 3m usd ili ujaze ioneke nyingi au sio na most of ur projects kuna wizi wa kufa mtu 😂😂😂😂😂 project ya 2b ksh si ajabu wanasema 3b huku 1b inaenda kwa wenye matumbo yasioshiba alaf nyinyi wajinga munakaa kushangilia
Nyinyi endeleeni kuumizwa na Affordable Housing😂😂😂
 
Huyo mkenya wa kukatwa hela yuko wapi? Kama hawa gikuyu ambao mnasema ndio matajiri Africa wanauana huku sababu ya chukula cha mifugo msaada wa China? Mliowadhulumu northerners 😅😅😅😅View attachment 3279248
Nakatwa Pesa every month for affordable housing. Najua hampendi kusikia ati affordable housing inawaumiza because value yake is bigger than the value of currently ongoing projects in Tanzania.
 
Ninyi ni wapumbavu kweli hilo ghorofa 1 la floor chini ya 12 halina uwezo wa kubeba units zaidi ya 100 hata zote zikiwa bedsitter, zipo ghorofa ngapi hapo za units 14k? Yanahitajika ghorofa 140 hapo kuaccommodate that figure wakati project nzima hata nusu ya ghorofa 140 hamna. 😂😂
Usiumie sana. Hapa umeona tu gorofa moja?

For your information this is just phase one.
1742651016184.jpeg
 
Naona watanzania mnaingizwa kwenye mfumo na siasa fake za Kunyaland hawa watu sio wa kuwaamini ni waongo kuanzia wanasiasa wao mpaka hawa slum dwellers wa kawaida

Angalia nyumba ambazo wanaodanganya zina 6500 units na hii ni render tu uhalisia ni a quarter of this, watasema phases
View attachment 3279261

Then angalia estate kubwa zaidi EA na wenyewe huwa wanasema Africa ina less than 5k units, ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

View attachment 3279262View attachment 3279263
Unataka kulinganisha two storied building na gorofa za 25 floors? Akili zako ziko sawa kweli?
 
Anapachika tu figure hakuna source yoyote ya maana anaongeza tu 😂😂😂
Ebu niambie ni source gani unataka nikuonyeshe? It’s up to you to check if I’m saying the truth ama uongo. Sio kulialia kama mtoto mdogo.

Ni Kama umecheck ukapata nasema ukweli😂😂
 
Back
Top Bottom