Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niko na relatives who have bought land there in an undisclosed location so my visit will be purely to disgrace Tanzanians on JF for eons...ili povu iwatoke my relatives are pure Kenyans and they dominate some Tz business sectors both rural and urban Dar slum.
asante kwa maneno ya kujifariji.
 
Wanalazimisha mapenzi na uganda hahahahah wakenya shida sana mnalazimisha hadi uselaa
Desperate mind.
Uganda na kenya wako na uhusiano mkubwa sana,,usisahau kuna over 3million ugandans in kenya hustling hasa (kakamega,busia,kisumu,bungoma,Tranzoia)
 
Desperate mind.
Uganda na kenya wako na uhusiano mkubwa sana,,usisahau kuna over 3million ugandans in kenya hustling hasa (kakamega,busia,kisumu,bungoma,Tranzoia)
Sisi tanzania hatutaki takwimu za kupika. Prove kama kuna waganda 3m in Kenya.

upload_2017-12-22_11-3-36.png
 
Desperate mind.
Uganda na kenya wako na uhusiano mkubwa sana,,usisahau kuna over 3million ugandans in kenya hustling hasa (kakamega,busia,kisumu,bungoma,Tranzoia)
so kati ya tanzania na uganda na kati ya uganda na kenya ipi yenye mahusiano makubwa😀😀😀
 
Harakisha na wewe uje upate kipande cha ardhi kabla hatujabadili mawazo, ninajitolea kukupa hekari 10 bure uweze kuanza maisha, the future is in Tanzania.
Hekari hizo wapatie watu wa Manzese, you can't afford me.
 
Nakuhakikishia utaishia kuwa disaponited kukuta usicho kitarajia,na nitakutajia maeneo ya kufika ambayo ni worst zaidi.ila ni ya kistaarabu mara 100 ya kobela.
Najipeleka mwenyewe sitaki usaidizi.
 
Tunashukuru kwa taarifa. In arusha let see if that land is not gone if they don't have tic clearance.. One of your own.. Anahaha njombe.

And that shamba will be repossessed.. Mmejaa uongo na ujanja janja.. Sio wafanyabiashara waaminifu..from personal level to corporate.

Sasa kwa kuwa umejisema ..tutahakikisha unatazamwa na mamlaka.. Na ndugu zako wanatazamwa kwa ukaribu.

[HASHTAG]#patriotism[/HASHTAG]...
The Great Nation of Tanzania
Hakuna watakalofanywa...money talks na tutazidi kuishi Tz for generations probably hata kupata Rais toka Kenya.
 
hvi kati ya tz na kenya nani hutegemea cha nduguye??😀😀😀😀😀😀😀
We gat the money man to purchase anything from anywhere including Tzee plus we also sell some things to Kenyans...usisahau am somehow Tanzanian I have relatives with businesses and other interests.
 
Hekari hizo wapatie watu wa Manzese, you can't afford me.
Sitanii ni ukweli, nilinunua hekari 100 Iringa, miaka mitano iliyopita nilitaka kupanda miti aina ya Pine, baadae nikahamishwa kikazi, sijapata tena muda wa kulishughulikia, kama upo serious tuwasiliane.
 
We gat the money man to purchase anything from anywhere including Tzee plus we also sell some things to Kenyans...usisahau am somehow Tanzanian I have relatives with businesses and other interests.
u got the money wakati IMF imewaonya muna deni la 60% to GDP ratio😀😀😀😀😀😀

kama muna pesa mungejenga reli kwa pesa zenu 😛
pesa ya kupambana na umaskini na njaa hamuna

below povety line 48.2%
unemployment rate 40%

kila mwaka lazina kenya iteswe na njaa hakuna mwaka hua unapita salama kwenu
 
We gat the money man to purchase anything from anywhere including Tzee plus we also sell some things to Kenyans...usisahau am somehow Tanzanian I have relatives with businesses and other interests.
umeanza kujipendekeza undugu tz.hatutaki wazamiaji sisi.

Tena after 17 day ukwende kwenu maramoja nitasimamia.
 
u got the money wakati IMF imewaonya muna deni la 60% to GDP ratio😀😀😀😀😀😀

kama muna pesa mungejenga reli kwa pesa zenu 😛
pesa ya kupambana na umaskini na njaa hamuna

below povety line 48.2%
unemployment rate 40%

kila mwaka lazina kenya iteswe na njaa hakuna mwaka hua unapita salama kwenu
Na bado.
 
Desperate mind.
Uganda na kenya wako na uhusiano mkubwa sana,,usisahau kuna over 3million ugandans in kenya hustling hasa (kakamega,busia,kisumu,bungoma,Tranzoia)
Hivi nchi kuwa na watu wengi kuishi ndani ya nchi nyingine ni dalili ya uhusiano mkubwa?, Mexicans wapo wengi sana USA, lakini uhusiano wa nchi hizo sio mzuri, pili ningeomba evidence ya waganda laki 5 waliopo Kenya, achilia mbali idadi yako uliyotoa under imfluance ya miraa.
 
Back
Top Bottom