Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 782
Kumbe middle economy wanaongoza kupoke misaada EAC kutoka USA!
middle economy iko kwenye karatasi sio uhalisiaKumbe middle economy wanaongoza kupoke misaada EAC kutoka USA!![]()
Sio vice presidents pekee, ninaweza kukutajia hadi baadhi wa mawaziri wa nchi nyingi tu za SADC, hii ni akili kubwa, haijawahi kuwa intoxicated na miraa.Unajua vice president wa Somalia,chad,Liberia??????....but unajua wa Kenya..... Yani hadi unajua Governor wa turkana
Wanalazimisha mapenzi na uganda hahahahah wakenya shida sana mnalazimisha hadi uselaaEPA pia wamewapiga chini wameungana na Tanzania
Wako katika hali mbaya sana, wakiipoteza Uganda ndiyo basi tena, hakuna nchi wanayoitegemea tena kutumia bandari ya Mombasa kwa uhakika, they need Uganda more than any country now.Wanalazimisha mapenzi na uganda hahahahah wakenya shida sana mnalazimisha hadi uselaa
Hamna mtz anaweza kaa na wezi na majitu yenye roho mbayaa ...wenyewe kwa wenyewe hampendani saa mtz aje kufanya nn huko et ???ukipewa chance ya kuwa mkenya huwezi kataa ....hata kama utakaa.We are special bana
unajua kwann wakenya wanahangaika na uganda, kwasababu sector iliobakia wanaitegemea ni bandari zingine zote zishakufa ikiwemo tourism etc sasa anafanya juhudi kulinda bandari maana ikifa na bandari amekwishaWanalazimisha mapenzi na uganda hahahahah wakenya shida sana mnalazimisha hadi uselaa
Hiki ni kisu cha ngariba, umekipata wapi?,![]()
![]()
chance ametoa uhuru juzi ya kuingia nchini bila pass.sijui chance gani unazungumzia.
Ingekuwa magu ndiye karuhusu,saa hii kenya isingekuwa na raia hata mmoja.

Wakati huo,mademu wenu wanatafta wanaume wa TZ waolewe huku.ona kinachomleta huyu ARUSHAukipewa chance ya kuwa mkenya huwezi kataa ....hata kama utakaa.We are special bana
Watajulia wapi.. Labda uwaulize nani anatrend leo huko twitter..Sio vice presidents pekee, ninaweza kukutajia hadi baadhi wa mawaziri wa nchi nyingi tu za SADC, hii ni akili kubwa, haijawahi kuwa intoxicated na miraa.
Niko na relatives who have bought land there in an undisclosed location so my visit will be purely to disgrace Tanzanians on JF for eons...ili povu iwatoke my relatives are pure Kenyans and they dominate some Tz business sectors both rural and urban Dar slum.Tena utakuwa umesaidia sana,tukiwaambia sisi hatuna slam kama kibela mnabisha na mapovu juu,ukuje ujionee kwa macho uthibitishie wakenya kwa picha.
Mtegemea cha nduguye hufa maskini...Si Tz currently is listed among the LDC countries in the universe? Hata Mungu na Shetani wanajua Tz ni LDC.mbona oil pipeline hamkuichukua??😀😀😀
hvi kati ya tz na kenya nani hutegemea cha nduguye??😀😀😀😀😀😀😀Mtegemea cha nduguye hufa maskini...Si Tz currently is listed among the LDC countries in the universe? Hata Mungu na Shetani wanajua Tz ni LDC.
Tunashukuru kwa taarifa. In arusha let see if that land is not gone if they don't have tic clearance.. One of your own.. Anahaha njombe.Niko na relatives who have bought land there in an undisclosed location so my visit will be purely to disgrace Tanzanians on JF for eons...ili povu iwatoke my relatives are pure Kenyans and they dominate some Tz business sectors both rural and urban Dar slum.
Nakuhakikishia utaishia kuwa disaponited kukuta usicho kitarajia,na nitakutajia maeneo ya kufika ambayo ni worst zaidi.ila ni ya kistaarabu mara 100 ya kobela.Niko na relatives who have bought land there in an undisclosed location so my visit will be purely to disgrace Tanzanians on JF for eons...ili povu iwatoke my relatives are pure Kenyans and they dominate some Tz business sectors both rural and urban Dar slum.
Huyo hana lolote analojua zaidi ya GDP na LDC, hilo swali unalomuuliza kwake lipo kwenye level ya PhD, akili za wakenya wengi zinatia simanzi, ni watu wa kuwahurumia.hvi kati ya tz na kenya nani hutegemea cha nduguye??😀😀😀😀😀😀😀
Harakisha na wewe uje upate kipande cha ardhi kabla hatujabadili mawazo, ninajitolea kukupa hekari 10 bure uweze kuanza maisha, the future is in Tanzania.Niko na relatives who have bought land there in an undisclosed location so my visit will be purely to disgrace Tanzanians on JF for eons...ili povu iwatoke my relatives are pure Kenyans and they dominate some Tz business sectors both rural and urban Dar slum.