ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
ndio maana nimekwambia middle economy iko kwenye karatasi na sio uhalisia😀😀😀😀Lakini dunia mzima inajua sisi ni middle income na nyie ni LDC.😀
ndio maana nimekwambia middle economy iko kwenye karatasi na sio uhalisia😀😀😀😀Lakini dunia mzima inajua sisi ni middle income na nyie ni LDC.😀
Kuitwa DC haikusaidiii kuondoa umasikini katika kenya.Dunia ningekuwa inatambua hiyo, basi wangetuweka sote kwenye ligi ya LDC...Kenya haipo kwenye hiyo list tuko ligi za nchini za Uropa, Asia, America na South Africa...meza wembe 😀
unashindana na nani huko uropa mkenya na hiyo njaa yako???DUHHH, 😀😀😀😀 hii ni kali ya Mwaka , Middle income country guy 😀😀😀😀kwanza hata Tz haitambuliki...people dont even know this country wacha vile wanajifanya fanya hapa...people out there think tz is a city inside Kenya...trust me I am not lying...
When they speak of Kilimanjaro they speak of Kenya
hata niliskia some south africans saying Diamond Platnumz is a Kenyan
the truth is nobody even knows if tz is a country or a city...it is one of the insignificant countries of Africa like Togo, Gambia, Sierra Leone, etc...in Africa, people only know Egypt, Kenya, Nigeria, Morocco, South Africa and Ghana..
Nitajie nchi yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.😛😛Kuitwa DC haikusaidiii kuondoa umasikini katika kenya.
Eti tuko ligi za uropa![]()
![]()
unashindana na nani huko uropa mkenya na hiyo njaa yako???
Mbona Kenya imeshawekwa kwenye kundi moja na Somalia, South Sudan, Ethiopia na Yemen kutokana na umasikini, njaa na insecurity?...hulijui hiloNitajie nchdini yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.😛😛
Wewe si uko ligi za uropa???Nitajie nchi yeyote Uropa LDC kisha utaje nchini yeyote LDC Africa uniambie kama Kenya itaorodheshwa hapo.😛😛
Wanawaonea kwa nini na kuwaweka kiwango cha LDC?ndio maana nimekwambia middle economy iko kwenye karatasi na sio uhalisia😀😀😀😀
Bulgaria😛😛Wewe si uko ligi za uropa???
Nitajie nchi unayolingana nayo GDP?
Maana sifa kenya ni uniform.
Aise yamekuwa hayo tena!!?Ugandans are our brothers...Uganda is just like an extension of Kenya...we are almost the same country...just with two different borders....thats why I like the SGR....many Ugandans will be coming to Kenya often bringing business to Nairobi, Kisumu, Mombasa and beyond...after all, all thy need is an ID card...
Mbona Kenya imeshawekwa kwenye kundi moja na Somalia, South Sudan, Ethiopia na Yemen kutokana na umasikini, njaa na insecurity?...hulijui hilo
Kwikwikwikwikwanza hata Tz haitambuliki...people dont even know this country wacha vile wanajifanya fanya hapa...people out there think tz is a city inside Kenya...trust me I am not lying...
When they speak of Kilimanjaro they speak of Kenya
hata niliskia some south africans saying Diamond Platnumz is a Kenyan
the truth is nobody even knows if tz is a country or a city...it is one of the insignificant countries of Africa like Togo, Gambia, Sierra Leone, etc...in Africa, people only know Egypt, Kenya, Nigeria, Morocco, South Africa and Ghana..
You are slow, you don't understand the joke.gari moshi
View attachment 656859
i understand sana😀😀😀😀😀You are slow, you don't understand the joke.
Bulgaria😛😛
mpaka mwaka uishe bulgaria itakuwa na $150bn sasa wewe sjui data zako umeokota kibela???Wapi Kenya kwenye list ya LDC😛😛😀Mbona Kenya imeshawekwa kwenye kundi moja na Somalia, South Sudan, Ethiopia na Yemen kutokana na umasikini, njaa na insecurity?...hulijui hilo
Ita tuta.tanzania itatumia njia tatu kufkisha mizigo uganda
1] from dar to mwanza port then port bell ug
2] from tanga/ bagamoyo to musoma then port bell
3] from dar to isaka tabora to uganda😀😀
View attachment 656861
View attachment 656862
alaf angalia magufuli alivokua na akili juzi tu kafungua modern one stop border kwenye mpaka wa uganda na tanzania na hapo ndipo SGR itapita