Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capture0.PNG
 
Rwanda na Burundi ndugu usiwasahau. Wasomali na Waethipia Tanzania ni nchi ya kimbilio lao.
Kama utakumbuka kuna mkutano mkuu wa CCM ulifanyika Dodoma miaka kadhaa iliyopita, walikaribisha vyama rafiki, muwakilishi toka DRC katika hotuba yake alisema kwamba wakongo wanaichukulia Tanzania kama mbinguni.

Hapa JF ni sehemu ya kupigana vijembe kwahiyo kila mtu anavutia kwake, lakini ukipitia kwenye magazeti ya majirani zetu ambako ni wao wenyewe wanajaribu kutoa maoni kuhusu Tanzania, huko ndiyo utaona ukweli jinsi wanavyoizungumzia Tanzania na Magufuli kwa ujumla
 
Halafu kwa uzuri sana magazeti yetu hayana time na nchi zingine. Ukipitia magazeti ya TZ mara zote yanaongelea mambo yetu. Ni kwa uchache sana utakuta wanaongelea nchi zingine.
 
Mbona wakati wa kuchaguliwa Amina waliwapiga chini. Bomba tukufu la mafuta wamewapiga dobo.
museveni alisema he has done nothing to tz and the pipeline would be the best consolation.....uganda tumeoa..ata nikienda uganda ama msee wa uganda akam huku bora ana id ni sawa..hawa tu ni kama wakenya wakikuja kenya ..
 
Kwikwikwikwikwi. Kuoa kwako Uganda hakukupi uhalali wa kuwaona waganda wapo upande wako.
 
Halafu kwa uzuri sana magazeti yetu hayana time na nchi zingine. Ukipitia magazeti ya TZ mara zote yanaongelea mambo yetu. Ni kwa uchache sana utakuta wanaongelea nchi zingine.
Msikilize au soma articles za Dr.Ndii anavyoizungumzia Tanzania, kumbuka huyu jamaa mwaka huu ametajwa kuwa nafasi ya 26 duniani miongoni mwa wasomi economists bora zaidi, au msikilize Baraka Mwiluka, au PLO ndiyo watakupa picha ya wakenya wanavyoitaja Tanzania, achana na vichaa wa humu JF.
 
Back
Top Bottom