Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,918
- 103,788
Utajuaje labda ndio wamemlipa mkandarasi! So wamepata rights za kufoka ambazo hawakuwa nazo mwanzo!Upumbavu mkubwa sana, mtu kabakiza mwezi mmoja wa mkataba waziri ndio anastuka? Hawa unaona kabisa hawana vifaa, wanasubiri SinoHydro amalize ndio awape vifaa vyake wapige margin ya kutosha. Kuwapa Wachina hii miradi lilikuwa ni kosa namba moja, hata quality tu ya kazi ni matatizo.