Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,160
- 33,045
Khaa!😁16km/h 😂😂😂😂
Khaa!😁16km/h 😂😂😂😂
Kenya is crime scene!Sometimes I get confused thinking it’s an American SWAT team. The resemblance from head to toe including the guns type … If there’s something Kenya has imitated the US, it’s the security forces.
Huwatakii mema 16km/h si bora watembee 😂😂😂Hivi hawa wa humu hawapandagi mtungi wao wa changaa! 😂😂😂
Experts from Kunyaland hawajaamini macho yao wakichokikuta Tanzania kwenye benchmark na kwenye comments wanatoa vilio hatari
View: https://vm.tiktok.com/ZMBdcPqPc/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
We have Alaska 007 , na sasa tuko na Arsenal… Ngai!…Unalia ukiwa wapi? Dodoma itafika levels za Tatu City lini? Ebu tuambie Mr. Arsenal.
Huyo bwege ndie anatumia hiyo manzi,TZ tunaita demu na hata kundustan now wengiwao wanatumia demuAnytime jamaa amepanda basi lazima apige picha atuonyeshe huku. Will I be wrong to think that ameanza kupanda gari hivi karibuni?
Geza Ulole haya mambo naona kama yamerudi kwa speed kubwa sana😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DG2tP4XMd0z/?igsh=MTdtbXVtanFsY2txNQ==
16km/h 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 aiseee ni hatari na nusu
Utajuaje labda ndio wamemlipa mkandarasi! So wamepata rights za kufoka ambazo hawakuwa nazo mwanzo!Upumbavu mkubwa sana, mtu kabakiza mwezi mmoja wa mkataba waziri ndio anastuka? Hawa unaona kabisa hawana vifaa, wanasubiri SinoHydro amalize ndio awape vifaa vyake wapige margin ya kutosha. Kuwapa Wachina hii miradi lilikuwa ni kosa namba moja, hata quality tu ya kazi ni matatizo.
Astaghafulilah.. usxhwetaaan!
Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!Upumbavu mkubwa sana, mtu kabakiza mwezi mmoja wa mkataba waziri ndio anastuka? Hawa unaona kabisa hawana vifaa, wanasubiri SinoHydro amalize ndio awape vifaa vyake wapige margin ya kutosha. Kuwapa Wachina hii miradi lilikuwa ni kosa namba moja, hata quality tu ya kazi ni matatizo.
Na nn kiliwafanya wakimbie in the first place? Waambie walete hizo fedha na waisondoke hata wakifilisika!We are conquering you na unaona ni sifa kwenu.