Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,143
- 17,887
Re-read what I wrote, understand then come back laterkwani hii picha hapa ni kenya ??😂😂😂
View attachment 3262000
Re-read what I wrote, understand then come back laterkwani hii picha hapa ni kenya ??😂😂😂
View attachment 3262000
That was Sama boy 255 aka Baboonman.Who was that Bongolala who made us laugh the other day?..I posted a Kenyan coffee maker I bought at Walmart and he responded with a sweat shop as a counterattack…It’s like a Kenyan responding to their SGR with Maasai curio market… Tanzanians are mostly clueless… at least most of them . Very few exceptions and far in between.
So huko kundudwellers uwa mnakaa level seat,hamna kupitia dirishani sioTunatumia dame and guess what? Dame is an English word. If you thought dame is a Tanzanian word basi pole kwako😂😂
Kuna wapumbavu wawili mmoja aliitwa @Barbarossa na mwengine Askari Kanzu. Hawa jamaa kudeal nao ilikuwa kibarua. Huyo Askari Kanzu hangeandika more than one sentence na hiyo sentensi yake maneno matatu manne pekee.🤣🤣Hao wote umetaja tulikuwa nao wote hii thread ikianza. I think uzee na upumbavu wa watanzania ndio ikawafanya waachane na hii thread. But guess what, i was here when ichoboy01 was real ichoboy01, achana na huyu wa siku hizi mwenye ameishiwa content. Active Tanzanians by that time were akina @Anneal, tuusan, kadoda na MOTOCHINI.
During that time watanzania walikuwa wajinga zaidi kuliko vile mko wajinga saa hii. There was a time i remember Anneal asking me kama Nairobi iko beaches and Islands😂😂.
All the Tanzanians during that time hawakujua CBD inamaanisha nini and ichoboy01 and Geza Ulole hawakujua kuhesabu floors za gorofa. Tanzanians have really learned a lot from Kenyans in this thread.
Sasa wewe umejoin thread juzi unataka kutuambia vitu i already know.
Hii ndo itatokea na SGR ya kutoka Tabora hadi mwanza huko.Sikuona sababu ya kutowapa strabag phase zilizofuatia maana ile phase waliitendea haki,almost 10 years ile barabara na vituo vyake vipo vile vile,nani sijui alishauri waje wachina!
dar es salaam naona foleni karibu njia zote muhimu ni foleni tu 😂😂😂
watu wanaganda kwenye foleni over 2 good hours aisee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
hvi mm nauliza swali kulikua na ulazima gani kwenda kufukua barabra zote za mji kwa kisingizio cha kujenga BRT, kwann tusingefata utaratibu wa kila phase atleast phase moja ikifika 70% ndio tunaanza nexe phase, sasa leo tunaenda kufukua barabara zote na ujenzi bado unasuasua kila kona, au ndio tunakimbilia miradi ovyo ovyo ili watu wapige pesa zao mapema kabia uchaguzi?
ilala to buguruni ina miaka 3 toka imefumuliwa na ujenzi umesiamama huoni kinachoendelea zaidi ya foleni kila siku
msimbazi center kwenda kigogo barabara imefumuliwa ina 3 yrs hakuna kitu kinachoendelea so far
etc,
View: https://www.instagram.com/reel/DGvvSJVsv92/?igsh=YzhqZndvOGplOGN3
Wewe nyang'au Nicxie mbona mbishi sana?Sasa Wajackoya aende apige picha kando ya gari US ili iweje?
WachafuTupe vionjo tunavisubiria kwa ham sana
kaka pesa kupita sio tatizo je kama wanakula pamoja na kampuni za kichina na kujenga vitu local local na wao wanakua wako tayar kuwalinda?
ili worldbank na IMf wakupe mikopo masharti yao yakwanza ni waone value for money kwneye miradi ya nyuma waliotoa mikopo yao, na lingine wanaangalia impact ya mradi wenyewe kwa taifa na ww mkopaji ndio una submit kwao kua ushapata mkandarasi na bei ni kias gani na wao wanafanya evaluation kupata uhakika kwa kile ulicho submit
kuna kitu hakiko sawa nyuma ya pazia hatuwez kwenda kufumua mji wote at once wakat tunaona adha ya jiji hili limeshazidiwa mpaka pumzi yakuvuta binaadamu, jiji ambalo linawatu takriban million 7 unafumua barabara zote muhimu, hao wagonjwa si watakufa njiani kila siku, wachumia juani ambao ni wengi sana wataishi vp wakat foleni tu inachukua 3 good hours, kama sisi alhamdlah tunapata chakula what about watu wengine wanaotegemea kibarua wapate chakula???
alaf waziri mzima hana habari wala taarifa kama muda wa mkandarasi umebaki mwezi mmoja na anadai kila siku anapita hapo
😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Hao wengi wa juzi tu,
Kulikuwa na mwingine pia alikuwa anaandika comments zake in Bold and Capital letters.Kuna wapumbavu wawili mmoja aliitwa @Barbarossa na mwengine Askari Kanzu. Hawa jamaa kudeal nao ilikuwa kibarua. Huyo Askari Kanzu hangeandika more than one sentence na hiyo sentensi yake maneno matatu manne pekee.🤣🤣
Jane mzalendo to komora now Rhaenyra Targaryen
typical of Wakunduni! Huwa ni pumbavu kuliko maelezo!
Labda watuonyeshe Qatar airways ikiwa Kisumu airstrip kama hivi 👇🏿
View: https://youtu.be/hr-Gh7nTYbQ?si=-ntlwfvP13yuy1G3