Utangoja video sana. Anza na hii tweet kwanza ukiziidi kuwa mjinga nakuletea picha ya production line
View: https://x.com/east_facts/status/1289250310163009536
Mbona unasaidia mtu alikataa kuenda shule. 🤣 🤣 🤣
Utangoja video sana. Anza na hii tweet kwanza ukiziidi kuwa mjinga nakuletea picha ya production line
View: https://x.com/east_facts/status/1289250310163009536
Nataka kumuongeza joto mwilini😂😂Mbona unasaidia mtu alikataa kuenda shule. 🤣 🤣 🤣
Kwa hiyo kutengeneza hizo cylindrical gears kama hivi ndio kutengeneza bullets?
Kwa hiyo kutengeneza hizo cylindrical gears kama hivi ndio kutengeneza bullets?
View: https://www.instagram.com/p/C-hytYbNsBH/?img_index=7&igsh=MXM0a3FmdWZ0NHRxag==
Tanzania ina kiwanda cha mizinga wanatengeneza risasi na baruti za migodini pia!
Hizi si kitu ya ku brag we mavi. 🤣🤣 tunazo hizi kitambo tu. 👇🏾New Armored Vehicles for Kenya Police.
Kenya Police are more and better equipped than Tanzanian army.
View attachment 3261297
View attachment 3261298
Iko wapi? Leta picha tuione.Tanzania ina kiwanda cha mizinga wanatengeneza risasi na baruti za migodini pia!
imejichokea hoi hae watu wanajenga vitu modern sahii mumebakia kula mfupa ulomshinda fisi 😂😂😂😂😂
Hujaichoka? Every project huwa unasema Asante kwa render are now complete. Hata hii pia itakuwa iishe tu.
View: https://x.com/Tatu_City/status/1897586918767952327
Your stupidity is always beyond redemption.Hizi si kitu ya ku brag we mavi. 🤣🤣 tunazo hizi kitambo tu. 👇🏾View attachment 3261312kama Ndio kwanza mnayapanga ili mpigenayo picha, huku bongo yapo kila mahali yanatumiwa huko. 👇🏾View attachment 3261314View attachment 3261317View attachment 3261318. 🤣🤣 kama Ndio kwanza zimeingia kwenu then pole
Ebu tuonyeshe ya Tanzania. Hamna International Conference Center yet unatupigia kelele hapa. Siku mtatoa hata render yake kuja tuonge 😂imejichokea hoi hae watu wanajenga vitu modern sahii mumebakia kula mfupa ulomshinda fisi 😂😂😂😂😂
Usijaribu kuita baruti risasi. Bongoslum does not manufacture bullets we mzee. 🤣 🤣Tanzania ina kiwanda cha mizinga wanatengeneza risasi na baruti za migodini pia!
Wewe huwa ni zezeta .. sahii sipigizanagi kelele na mzuzu.. naelimisha then napita hivi.Your stupidity is always beyond redemption.
Sasa unataka kuliinganisha this upgraded Probox like Van
View attachment 3261324
With this Modern Armored vehicles?
![]()
![]()
Zezeta ni wale washamba wakipanda basi lazima waringie watu kwamba amepanda basi. Alafu hizo toys zenu usiwailinganisha na Kenyan police armored vehicles.Wewe huwa ni zezeta .. sahii sipigizanagi kelele na mzuzu.. naelimisha then napita hivi.
tanzania tunazo za kutosha tena mpaka nje ya dar zipo nyinyi muna hio moja kama vile jina la mbwa 😂😂😂😂😂Ebu tuonyeshe ya Tanzania. Hamna International Conference Center yet unatupigia kelele hapa. Siku mtatoa hata render yake kuja tuonge 😂
Wamasai wa kenya waishio Tanzania 😆😆watasema za Tanzania ni ng'ombe zao zinafugwa na Watanzania on their behalf!