Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sema inaonekana huwa unaumia sana ukiona Tz ipo mbele eeh.? 🤣🤣

Imagine ulianza kusema gari ni ya kinsasha congo, ukaleta hadi ushahidi wa videos, na wenzako wakaku support. 🤣🤣🤣

sahii umeona hata, haiwezekani, umerudi kuitafuta picha ukaikagua tena upya. Sahii umekuja Tena unasema picha haikupigwa bongo. 🤣🤣🤣

Hold on. Mbona nyie watu ni waongo sana.?
Kwanini Tz inakuuma sana.? 🤣🤣
Mbona mnapenda uongo? Hapa ni Dar is slum?

1741255787888.png
 
Back
Top Bottom