Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,744
- 34,395
Kwani wale waliuawa Juzi hawakuwa your weak army? Wale wenye waliinua white flag si walikuwa watanzania? Yani mnapigwa hadi muinue bendera nyeupe?😂Alafu wewe kenge wamepigwa wapi hapo, au ndio kuchukua propaganda za Rwanda ukiongeza na mimba yako ndio ujifurahishe?