Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanapika Data sana hao. Kwanza walisubiri waone figure za Tanzania. Ila ukweli wanaujua wenyew.

Hata Data za Mombasa port sio za kweli. Dar ukiangalia kwenye ships in port and expected ships. Dar port huwa ina ships nyingi na busier kuliko Mombasa siku zote. Lakin wakitoa Data wanasema wahudumia tani sijui ngap huko. Ni waongo waongo tu. Tushawazoea
Kwanza gari za IT tu hapo dar port ni nyingi mno,juzi kati niliona kuna IT hadi za zimbabwe,kwa siku kimara gari za IT uwa zinapita zaidi ya 100,zambia,malawi,zimbabwe,congo,rwanda na burundi hawa wote wanatumia dar port kwa 70%,kunyan data zao za kupikwa ni kama wanajitia finger wenyewe na kunusa
 
Mombasa

Image
Mombasa hakuna sehemu nyingine zaidi ya hii? Maana picha inarudiwa since 2017 mpaka leo picha ni hiyo hiyo moja, ukitoka hapo unaweka zile ghorofa za udongo na banduli mtambo kwisha habari.
 
Mfugale ujenzi ulianza mwaka 2015 mwisho mwa Jakaya Kwa hela za JAICA so sio Magu.

Sawa kijazi ila njia 8 amemaliza Samia sawa na Magufuli stendi 🤣🤣
Siku magufuli anazindua ujenzi wa mfugale flyover 2016 nilikuepo na wakati ujenzi umekamilika nilikuepo na kijazi flyover pia nilikuepo hakukuwa na ujenzi wowote wa flyover pale tazara kabla ya awamu ya tano
 
Seem mimba waliyokupa JWTZ si ya mchezo mchezo.

Upo nao kila mahali.

Nyie mna jeshi gani wakati nchi haipo salama kila kukicha vifo vya Bandits?
Jeshi letu ndio strongest in the region, for your information banditry sio kazi ya KDF. Hiyo ni tu kazi ya polisi wa kawaida. KDF wapo kule Somalia dealing with Al Shaabab properly.

Your weak army on the other hand wamepigwa vita wakakimbilia Rwanda😂😂👇👇👇


View: https://x.com/Kivuinfo24/status/1896110109677498681
 
Back
Top Bottom