Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo huyu ndio wewe mzee.? 🤣🤣🤣 unaona fahari kupiga picha hapo kwenye hizo bago.?
Get off haterode !… one day you will make it outta Tandale and see the dream world…never give up child… 🤣🤣
 
Is it an excuse or are you imitating US capital, Washington DC…. I bet the latter..🤪
Dodoma ni eneo lenye tetemeko la ardhi kwahiyo kuna masharti ya ujenzi. Ukiona ghorofa ni ndefu sana Dom basi ni 15 floors kushuka chini.
 
Mwambie yao hiyo +2 mln includes local tourists!
Aniambie nini na kila kitu kiko wazi? Wewe heshimu miaka yako, huwezi kua mzee na ukue mjinga at the same time, yours is a special case.


Image
 
Unavaaje manguo yale, yani upo US halafu hau shine.? 😆. Heb tafuta wabongo huko akina Roma na wakazi wakutoe ushamba wa mavazi.
Am always on trend … that was the fashion then , and never forget American hip hop set the trend that the world hata wasani wenu imitates … now tell me what’s wrong with my style…in other words, put up or shut up ..😄😄
 
Back
Top Bottom