Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo yenu mmetoa wapi kama sio data ya kupika.?
Yenu ndio sio ya kupika? We receive more cruise ships than Tanzania, we receive international visitors from our airports kuliko Tanzania. So nyinyi mnafaa kutuambia hizo numbers zenu mmetoa wapi Kama siyo ya kupika.
 
Naona unaleta ubishi usio na kichwa wala miguu, Mfugale, Kijazi alifungua nani?
Mfugale ujenzi ulianza mwaka 2015 mwisho mwa Jakaya Kwa hela za JAICA so sio Magu.

Sawa kijazi ila njia 8 amemaliza Samia sawa na Magufuli stendi 🤣🤣
 

Tanzania attracts record 5.36 million tourists in 2024: minister​

Source: Xinhua
Editor: huaxia
2025-02-02 15:27:17
202502028ba7b6c11c9c4f84830ccb9b3159796e_CnbbeeE007005_20250202_CBMFN0A001.JPG
Lions rest on a tree at Serengeti National Park in Tanzania, May 3, 2024. (Xinhua/Hua Hongli)

Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

DAR ES SALAAM, Feb. 2 (Xinhua) -- Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.

The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the government of raking in 6 billion U.S. dollars by December 2025.

202502028ba7b6c11c9c4f84830ccb9b3159796e_CnbbeeE007005_20250202_CBMFN0A002.JPG
Antelopes run at Serengeti National Park in Tanzania, May 3, 2024. (Xinhua/Hua Hongli)


The meeting also served as a platform for discussing future strategies, with Chana emphasizing the necessity of continued collaboration among stakeholders to enhance Tanzania's tourism offerings. ■

Approximately is not exactly. Your exact figures were $3.6B.
 
Mfugale ujenzi ulianza mwaka 2015 mwisho mwa Jakaya Kwa hela za JAICA so sio Magu.

Sawa kijazi ila njia 8 amemaliza Samia sawa na Magufuli stendi 🤣🤣
Kwa hiyo Magu kumalizia kujenga miradi iliyosua sua kwenye 2 - 10% hapati credit ila Samia akimalizia miradi iliyofika 30-70% anapata credit, huu ndo ujuha sasa.
 
Kwa hiyo Magu kumalizia kujenga miradi iliyosua sua kwenye 2 - 10% hapati credit ila Samia akimalizia miradi iliyofika 30-70% anapata credit, huu ndo ujuha sasa.
Wanaopinga credits Kwa Samia ni nye Wafuasi wa Mwendazake mkiongizwa na ichoboy01 na The best 007

Mnasahau kwamba historia inaandikwa na washindi 😂😂

Watu dizaini yenu ndio mlikuwa mnasema hakuna kitu wengine walifanya wakati.mnajua ni up go na upotoshaji
 
Back
Top Bottom