Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,230
- 35,644
Hii ni enzi ya moiHiyo picha nimeisave. Nitaipost in a few weeks hapa nitaambiwa ni ya enzi zile za Mkapa. Mark my words. 😂 😂
Hii ni enzi ya moiHiyo picha nimeisave. Nitaipost in a few weeks hapa nitaambiwa ni ya enzi zile za Mkapa. Mark my words. 😂 😂
Umesikia wapi wafanyabiashara wanaolima alizeti na ufuta wakisema mafisadi wamewanyima soko ?si mumerudisha mafisadi juu ya meza unafkiri wafanybiashara wanaoleta mafuta ya kula watashangilia na watakubali mazao ya michikichi yapandwe na kiwanda kijengwe? 😂😂😂😂😂
wakat mwengine nchi inaongozwa kwa maamuzi magumu sana
Sema mliua sekta binafsi unajizunguaha zungusha Kwa nini?simulikataa kununua akasema serekali itanunua kwa bei ya 3300 jambo ambalo halijawah kutokea toka tumepata uhuru😂😂
haiwezi doda kwa sasa kwasababu mipango mikakti iliandaliwa vzr kwa kuondoa madalali katikati ya biashara na kuufanya biashara ya moja kwa moja kutoka kwa wakulima, hapo biashara itadoda vp wakat hao hao madalali ndio walikua wanakwamisha biashara 😂😂😂
yani tumesahau kabisa🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Kundustan mna akili ndogo sana kuhusu concept ya Utalii 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
Is it an excuse or are you imitating US capital, Washington DC…. I bet the latter..🤪Dodoma is not for tall buildings.
Chassis ya Isuzu canter!
hakuna habari yoyote so far kinachoendelea tumeridhika na uchawa tu 😂
Mumeshapigwa za Uso Kundustan ha inajifariji tuuKumbe hio 5 million ina include domestic tourists. 🤣 🤣 🤣 WTF, bongoslum mpunguze jokes hata kama ni campaign munafanyia huyo mama yenu.
Mwambie yao hiyo +2 mln includes local tourists!Mumeshapigwa za Uso Kundustan ha inajifariji tuu
Get off haterode !… one day you will make it outta Tandale and see the dream world…never give up child… 🤣🤣Kwahiyo huyu ndio wewe mzee.? 🤣🤣🤣 unaona fahari kupiga picha hapo kwenye hizo bago.?
View: https://x.com/Rydx_017/status/1896114297228705892
MY TAKE
Burnaboy had to invite Sautisol as Bien had no music of his own to perform on stage!
Kwa hivyo kwako 2.1 m ni nyingi kuliko 2.5 m. Punguza ujinga wewe chura wa mama.Mumeshapigwa za Uso Kundustan ha inajifariji tuu
Dodoma ni eneo lenye tetemeko la ardhi kwahiyo kuna masharti ya ujenzi. Ukiona ghorofa ni ndefu sana Dom basi ni 15 floors kushuka chini.Is it an excuse or are you imitating US capital, Washington DC…. I bet the latter..🤪