The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Masufuria yaleeeee, this is Africa bro, utajificha lkn huwezi kuficha uhalisia, ila niwe mkweli mm mwenyewe haya makofia yananikera sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tukishafikaga hapa utaona wanakuambia tusifukue makaburi.
leo nimeanza na huyo chawa na 1 na wengine watafuataMachawa achana nao hao, na mm sitoacha kuwakumbusha hata wakijifanya wehu. Hawa ni ma CCM pro yaliyovamia huu uzi, yenyewe yapo radhi hata kiongozi akikosea lkn asiikosoe CCM, ni majitu yanasababisha hali inakuwa ngumu sn kisa yenyewe yanapewa visenti fulani. Hivi mtu mzalendo mwenye akili zako timamu kabisa unaweza kumuweka jakaya kwenye level za Magu, au mama kwenye utwala bora? Kwa kipi hasa? Mambo yapo hadharani huhitaji kwenda chuo, na wajue kabisa watanzania wa sasa sio wale waliowazoea.
Eti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.Jakaya alijenga uchumi na barabaran katika hali ngumu, aliweka kukawa na free of speech bunge likawa moto, kaguzi zikawa moto tutayajua mengi.
Magu alizuia kaguzi na masuala ya ujenzi akayahamishia ofisi ya rais ili yasikaguliwe, tender nyingi za ujenzi akawa anafanya mwenyewe kwa kutumia kampuni zake. Uchumi ukadorora ila akawapofusha watu na miradi michache sana tofauti capacity ya tanzania
Ukisema haikufanyiwa KAZI inatakiwa ujue Kila mpango wa serikali unaenda kwa awamu.Sawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....
Magu hakurisk chochote mkuu ebu ingia website ya naot pakua ripoti ya 2021/2022 uone maduduSawa ilikuwepo, lkn kwnn haikufanyiwa utekelezaji miaka yote hiyo, kwamba bajeti ilikuwa haitoshi au? Mkuu nisikilize mm hata raisi angekuwa nani ilimradi sio mzalendo na sio mthubutu hiyo miradi ingeendelea kubaki kwenye makaratasi tu, usifanye mchezo wewe, sio kitu cha kawaida na usichukulie poa, hata Rais ungekuwa wewe usingeweza, wewe unaweza ku risk maisha yako na tonge lako kwa faida ya wengine? Acheni ujinga nyinyi....
Eti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.
Hizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.Mimi mpaka Leo sijaona Yale mabehewa ya ghorofa used tuliyonunua mwaka 2019 kwa cash
Huwezi jua umuhimu wa freedom of speech na ndo maana huwez jua umuhimu wa kaguzi na kuwa na bunge lenye menoEti freedom of speech, nani kakuambia maskini anahitaji freedom of speech, huo upuuzi ndiyo umezaa machawa leo hii. Maliza njaa kwanza ndiyo freedom of speech ifuate.
ipiwa zoteHizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.View attachment 3255228View attachment 3255229View attachment 3255231
Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?Hizi ni nn? Wacheni unafki, aliyetangulia alinunua behewa, nyinyi na serikali yenu corrupt pambaneni mnunue vichwa behewa ziingie relini, mmetuharibia sn mipango yetu.View attachment 3255228View attachment 3255229View attachment 3255231
It's normal during rush hour in all major cities around the world. The guy who posted and others are just like you.You’re saying this is absolutely normal, you see no issue whatsoever and the guy who posted this alongside the hundreds of supporting comments are just stretching itView attachment 3255200
Lete uthibitisho, kwnn unaongea pasipo evidence? Tabia mbaya sn hii.Hayo mabehewa hayavuki hata moro kwa taarifa yako maana urefu yamezidi na hayawez pita kwenye mahandak ya kilosa . Sasa mwendazake wakati alazimisha tulipe kwa cash hakujua hilo?
Is there any stadium in Tanzania that has ever hosted a world tournament event?Haha at what context kwa mfano maana hata kukamilika bado
Naona kuna kondoo anatetea kuwa hizo walizovaa kunyaland drinking force sio masufuria, nimempuuza. 😂😂😂Masufuria yaleeeee, this is Africa bro, utajificha lkn huwezi kuficha uhalisia, ila niwe mkweli mm mwenyewe haya makofia yananikera sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hao machawa nilitupa ignore list siku nyingi sana.Yaani kuna watu humu nitaanza kuwaiginoo moja baada mwingine
leo nimeanza na huyo chawa na 1 na wengine watafuata
HAha sasa wewe ndo utuletee hata sample Moja ya picha yakifanyiwa testing maana mpaka yameanza chakaaLete uthibitisho, kwnn unaongea pasipo evidence? Tabia mbaya sn hii.
We Listone Mutai umekuwa mjinga sn siku hz.Ukiwa umejengwa.. sio ukiwa umechimbwa mitaro tu