Uko sahihi.. NEST kuna tender kibao... Na mara nyingi kandarasi nyingi za serikalini huwa wana Ongeza bei kutokana na utaratibu wa malipo ulivyo. Pia wakati mwingine kuna kuwa na variations ambazo zina pelekea gharama za mradi kuongezeka.
Kuhusu ishu ya Kariakoo na hizo kamera ofisi ya Mkurugenzi Jiji ilishatoa ufafanuzi. Sio kamera 40 pekee za Kko ndio zita gharimu hiyo milioni 500+ hiyo hela ni jumla ya fedha zote za kufunga kamera CBD plus Kkoo... Hapo ni kamera na control rooms zake na facilities zote kama nyaya, kompyuta na installations fee.
Project ni kamera kwa CBD Yote na Kkoo ikiwepo, na gharama ndio hiyo 514m.