The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Hiyo ni brt bus, shida iko wapi? Au exposure ndio huna.
Mjuzi wa kiingereza nieleweshe alichoomaanisha harmonizeKingereza kimekupita na mbali sana.
Mwambie sisi tulishafanya kitambo. Mwambie a Google Azam complex, tena iko very visible and professional, sio jua kali kama hiyo yao.Nini cha ajabu hapa?
Soon atakuja kuropoka ni the first in east and central......Mwambie sisi tulishafanya kitambo. Mwambie a Google Azam complex, tena iko very visible and professional, sio jua kali kama hiyo yao.
Kuna mjinga keshasema hivyo juu huko 🤣🤣🤣🤣🤣Soon atakuja kuropoka ni the first in east and central......
unless unambie na utuaminishe kua vita tumeshinda so far 😂😂😂😂Nishati safi ya kupikia champion ni Mama na Sasa ni ajenda ya Afrika
View attachment 3254309
Najua hizi habari zinakujmiza moto il utazoea tuu Hadi 2030 😂😂
ndio ile ya camera 40 sawa na million 514?Hazitoshi sio sawa na hukuna kabisa.Hata hilo la kufunga security cameras na taa Kila Kona ya Nchi ni project ya SSH.
seriously vitu vya ajabu sana unampa mtu mtungi wa gas bure wakat gas yenyewe ya 6kg ni 25k 😂😂😂😂😂Hio mitungi hao wananchi masikini wameenda kuiuza wala hawana mpango nayo.
ndio ile ya camera 40 sawa na million 514?
😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/p/DGOUm0DsmXo/?igsh=MTV1M2g1NG9rMDJ5Yw==
Iko bungeni over 20 yrs Sasa sijui inafanya nini huko Bungeni 😁😁👇👇unless unambie na utuaminishe kua vita tumeshinda so far 😂😂😂😂
shida yetu sisi ni hatupendi kuambizana ukweli vita vya nishati na salama iko bungeni over 20 yrs now, hio gas na umeme tunayotaka iwe nishati mbadala
10k = 28units electricity
25k = 6kg of gas
Umeanza kujaa kwenye mfumo 😂😂
Wakati nawaambia miaka 6 ya Mwendazake imepotea Bure si mlikuwa mnabisha?
Hakunaalichofanya kwenye Barabara,Mikoa aliyoikita Ina vumbi Kwa JK Hadi anaondoka aliacha vile vile.
Sasa mama ameanza kazi rasmi ya ujenzi wa kulinganisha Barabara.
Huko Tanga Kuna miradi mikubwa 4.
1.Tanga-Bagamoyo
2.Handeni-Singida
3.Amani-Muheza
4.Soni-Bumbuli-Korongwe.
Kwa Samia n kazi sio porojo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGlTO34KhN8/?igsh=MWo0MWZrdGVrbWthNg==
😂😂😂😂😂😂😂 we mwenyewe unaona aibu ila ndio utafanyaje sasa wakat una pesa yako ya uchawaHiyo hiyo
na haijafanikiwa mpaka leo na bado inapigiwa promo tu za uchaguzi😂😂😂Iko bungeni over 20 yrs Sasa sijui inafanya nini huko Bungeni 😁😁👇👇View attachment 3254463
Aibu ya kitu gani?😂😂😂😂😂😂😂 we mwenyewe unaona aibu ila ndio utafanyaje sasa wakat una pesa yako ya uchawa
Kama haijafanikiwa hitungi ya Ruzuku imetoka wapi?na haijafanikiwa mpaka leo na bado inapigiwa promo tu za uchaguzi😂😂😂