Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanavyoiabudu hii lugha, walijua wala hata haikua official in USA?

View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1895512553641656492?t=cX7ef6deWrLJkR-21aQkhg&s=19

So what’s your point … It’s still the most common language in the USA and the language of government. In many areas it’s mandatory. It’s only that the US has many aspects of immigration from various parts of the world. So Trump with his mantra of America First is now making it official to stick it to pro immigration forces, but who knows how long this lasts . Executive orders can only last to the next Presidency . In 4 years all this may be reversed including Gulf of America ( before Gulf of Mexico)… in America we say, Elections have consequences…
 
Today was fireworks in the Oval Office between President Trump and VP Vance on one side against Ukraine President Zelenskyy. It turned into a shouting match . Zelenskyy got kicked out of the White House. Never seen anything like this in my political lifetime. It’s the talk everywhere here. This gonna be studied in history books…wild day in American Politics… as Americans say , Trump was like a bull in Chinatown..😁
 
Harmonize kawapiga mkwara kunyan huko huko kwao
20250228_192023.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
juzi nilipita buguruni ilala ile barabara toka imebomolewa kujenga BRT leo ni mwaka wa tatu iko vile vile, endeleeni kudanganyana tu

pesa zimekopwa za kutosha na zimepigwa za kutosha 🙌🏻🙌🏻

kila budget wanasema hayo hayo nimekuuliza au uchaguzi umewadia ??
Sio hiyo tu, juzi jiwe la msingi limewekwa kwenye barabara iliotakiwa kuisha miaka mi 3 iliopita kule Tanga! Watu hawako serious kabisa!! Kama hiyo barabara ya ilala, kama hawakuwa tayari si wangiacha tu, kuliko kufanya ujinga ule!!
 
Today was fireworks in the Oval Office between President Trump and VP Vance on one side against Ukraine President Zelenskyy. It turned into a shouting match . Zelenskyy got kicked out of the White House. Never seen anything like this in my political lifetime. It’s the talk everywhere here. This gonna be studied in history books…wild day in American Politics… as Americans say , Trump was like a bull in Chinatown..😁
It was really bad. Embarrassing.
 
It was really bad. Embarrassing.
The whole division is related to the rare earth minerals deal that Trump demanded ( 50% of Ukrainian minerals)but has no United States security guarantees. Zelenskyy is ok giving up the minerals to America but in exchange he wants military security guarantees from the US against any future Russian transgressions. Trump refused. So Zelenskyy refused to sign and Trump got upset . Trump’s theory is American presence in the mineral fields is itself a security guarantee because Putin would not attack when Americans are present working in the mineral fields. Zelenskyy was not sold on that , he wants that guarantee on paper signed . Now what next?… but today Putin definitely won!
 
Uko wrong, kiwanda kilianza uzalishaji wa saruji tangu 2021.
Alichozindua Mh Rais ni upanuzi wa kiwanda.
Hujakutana na saruji za Huaxin mtaani mzee!

View: https://x.com/mbelwak/status/1463061431960563714?s=46

yani ndio maana nimeshangaa sana yani mtu azalishe clinker asizalishe cement nimestaajabu sana kwakweli na nimemuambia mbona hicho kiwanda kipo kinafanya kazi toka 2020 😂😂😂

nilipoona tunshindana sana nikamuacha mzee ashinde maana siku zote mjinga mpe cheo
 
Kwani hapo umesoma wamesema watakuja na mpango gani?
labda mpango wa uchaguzi tu huwez kua na ndoto kama huna mikakati maalumu ya haraka, huwez kugawa mitungi ya gas bure kwa watu wachache wakat gas yenyewe ni ghali sana, huwez kutaka watu watumie nishati mbadala wakat bei ya umeme iko juu sana na huku tunajisifu kua tuna vyanzo vya kuzalisha umeme rahisi zaidi kama hydro, kwa sasa tuongelee siasa za uchaguzi tu 😂😂😂
 
Leo ni 28/2 sio 25/2 najua unatamani ishindikane ila ni ndoto za mchana
hehehe kwan wameanza lini kutoa ruksa ya kariakoo kufanya kazi masaa 24, hvi ww ushawah kufika china ukajionea watu walivo serious? na mipango iliotengezwa, nikikuuliza sasa hvi kuna eneo lingine linaongoza kwa wizi n ujambazi kama kariakoo?? unataka watu wafanye kazi masaa 24 alaf hatuna mikakati madhubuti 😂😂😂
 
25/2
 
labda mpango wa uchaguzi tu huwez kua na ndoto kama huna mikakati maalumu ya haraka, huwez kugawa mitungi ya gas bure kwa watu wachache wakat gas yenyewe ni ghali sana, huwez kutaka watu watumie nishati mbadala wakat bei ya umeme iko juu sana na huku tunajisifu kua tuna vyanzo vya kuzalisha umeme rahisi zaidi kama hydro, kwa sasa tuongelee siasa za uchaguzi tu 😂😂😂
Sera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?
 
Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
yani mm hua nashangaa sana naskia tanga bodaboda jana wamewekewa mafuta ya elf 5 na posho elf 20 wajaze msafara wa mama, chakula jana kimegaiwa bure kabisa mchana na usiku, maji ya kunywa ya GSM semi trela mbili mpaka watu wanaondoka na carton za maji, hel jana zimemwagwa kama upupu watu wajaze uwanja wa mkwakwani😂😂🙌🏻, bus zakutosha zimewatoa watu vijijini huko naskia mwenyekiti akifikisha watu 10 apige simu gari linakuja kuwazoa kuwaleta uwanjani

swali langu kwann inatumika nguvu nyingi sana sana wakat upinzani wenyewe ni kama hakuna 😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

ChoiceVariable 😂😂😂
 
Sera ya Nishati safi tayari imetungwa ,Kuna mkakati mkubwa zaidi ya sera ?
sheria imetungwa lini wakat agenda ya nishati safi iko toka kwa kikwete huko😂😂

bunge limezungumza nishati safi zaidi ya miaka 20 haya hio mikakati iko wapi ikiwa umeme tu mpaka leo hauko stable mjini watu wanazima na kukata umeme vile wanavojiskia
 
Back
Top Bottom