Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,668
- 34,297
Tunaongelea serious stadiums na wewe unaleta a 7k seater field? Wapi ya Makwapa Stadium?Uwanja wa amani ndio ulianza 👇🏾View attachment 3254464View attachment 3254466
Tunaongelea serious stadiums na wewe unaleta a 7k seater field? Wapi ya Makwapa Stadium?Uwanja wa amani ndio ulianza 👇🏾View attachment 3254464View attachment 3254466
Hii ndio njia ya kupiga pesa.
Nakuambia hii mambo ya Kasarani inawauma sana😂😂😂. Mark my word, Semi Finals za AFCON zitachezwa Kasarani alafu Finals Talanta.Umesema tu Lasarani name written using seats wengine washawaka moto eti ooh, unasema this is the first in East Africa eti ooh we already did it in Amaan Stadium. Hawa majamaa inferiority complex itawaua. 😂 😂
Is kasarani serious than amani stadium.? Au umeenza kuchanganyikiwa.? Amani stadium ni aproved CAF standards.Tunaongelea serious stadiums na wewe unaleta a 7k seater field? Wapi ya Makwapa Stadium?
Na wameendaa event juzi hapo Kariakoo..sijui wametumia sh ngap kwenye event ile ya kufungua 24hrs.Hawa watu wanachekesha sana. Yaani nisafiri kutoka mkoani au nchi jirani halafu nianze kununua vitu saa sita au nane usiku?!! Mambo ya 24hrs wawaachie super market na wauza chips na huwa inakuja naturally sio kwa uchawa.
Amani Stadium ni size ya Kwale Stadium, let that sink in in your rotten head.Is kasarani serious than amani stadium.? Au umeenza kuchanganyikiwa.? Amani stadium ni aproved CAF standards.
Wewe ni mpumbavu always. Haya sawa.Amani Stadium ni size ya Kwale Stadium, let that sink in in your rotten head.
Sababu nimekuambia ukweli? Najua ukweli is always your bitter pills.Wewe ni mpumbavu always. Haya sawa.
Tunaongelea simba kifala kinaleta paka. 😂Tunaongelea serious stadiums na wewe unaleta a 7k seater field? Wapi ya Makwapa Stadium?
Just imagine, angoje siku tu Taa za kuongelea Siaya Stadium na Kwale ndio alete hiyo Amani yao😂😂Tunaongelea simba kifala kinaleta paka. 😂
Hiyo floor ya kati mbona ipo flat watazamaji wataona mpira vizuri kweliKasarani taking shape
View attachment 3253418
Unaogopa kuni quote halafu kumbe unaniwaza. Jitu zima pumbavu. 🤣🤣🤣Tunaongelea simba kifala kinaleta paka. 😂
Kwani field iko kwa mlima?Hiyo floor ya chini mbona ipo flat watazamaji wataona mpira vizuri kweli