Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,756
sasa kama rafiki yenu IamLee alikopeshwa na hataki kulipa?Wazee wa tandale ni nani anataka kuona picha yangu? Mbona mnahangaika kuitafuta online si muulizie tu, which primitive idiot will go first?
Mbona tuhangaike wakati taarifa zako tunazo na tunajua pa kuzipata!Wazee wa tandale ni nani anataka kuona picha yangu? Mbona mnahangaika kuitafuta online si muulizie tu, which primitive idiot will go first?
Sa ni njaa mno, na hakuna mshikamano kwa lolote. Ndoa za Tanzania ni mshikamano kufanikishiana, utaratibu na aina hii ya maisha ni Tanzania pekee. Watu wa kila randi na kabila hukutana na kuhakikisha mwingine anafanikisha jambo lake na linafanikishwa kibabae sana. Nyie hamna lolote la kutufundisha kuhusu maisha bora. SA ni ukabila na ubaguzi wa rangi plus umasikini wa kutisha, same kama Kenya.Sasa wewe mzee na huyo msichana mdogo ambaye labda hata hajaanza kujitegemea nani yafaa amsikize mwengine? Stop being stupid.
Yani mambo ya strip clubs mnaleta kwenye harusi alafu mnajiona wababe?
Narudia, huo ni upuzi na unafanywa nchi za kimaskini tu. Hadi humu Africa nchi zilizopiga hatua kidogo kama SA, Botswana, Mauritius huwezi pata huu upuzi. Civilized weddings are brief and short. Mbwembwe nyingi hazina maana.
Victor, mimi sio muongo na siwezi kudanganya maisha nimeishi. Kupinga nilicho andika ni wazi kuwa wewe ndio muongo na huna uelewa juu wa yale mambo.Ulitaka kudanganya nikakuexpose😂😂😂.
Alafu mimi sio Victor, and i’m not Kalenjin. So try again.
Unaongelea uongo wa mitandao alafu unashare tweet za Wakenya wakicriticize serikali yao. Tuseme unashare uongo ama niaje hujielewi? 😂 😂
Mbona tuhangaike wakati taarifa zako tunazo na tunajua pa kuzipata!
View attachment 3252553
Swine,kutoka kukataa sio ww,mpaka kudai picha zinazopostiwa za zamani,***** unaonekana una dhiki balaa,sijui kama hata unaweza kuafford milo 2 hapo kiberaHio inakusaidia aje? Hio ni picha? Si uzipost hapa basi mbona mnapost picha za zamani 😂😂 post it idiot, ama umepata ni private? Send a follow request using a pseudo, i will accept, but remember I am straight sawa?
The African leading Hotel is in Kenya. Actually top 10 hotels in East Africa are all in Kenya.Kila likizo nina Trip ya Zanzibar Sasa sizani kama Nairobi inaweza kuwa na hotel kuliko Zanzibar
I have lived my all life close to Catholic Church, my family has been Catholics since the 19’s. I know everything about Catholic and I can tell when you are lying and telling the truth. I know you are bitter that I exposed your lies.Victor, mimi sio muongo na siwezi kudanganya maisha nimeishi. Kupinga nilicho andika ni wazi kuwa wewe ndio muongo na huna uelewa juu wa yale mambo.
Ni kweli kabisa lakini inakuhusu nini? Mbona unaweka kichwa chako kwa mambo ya watu mganga na umbwaSwine,kutoka kukataa sio ww,mpaka kudai picha zinazopostiwa za zamani,***** unaonekana una dhiki balaa,sijui kama hata unaweza kuafford milo 2 hapo kibera
Kichamganyikiwa kwingine bhana. 🤣🤣🤣The African leading Hotel is in Kenya. Actually top 10 hotels in East Africa are all in Kenya.
🤣 🤣 🤣 you've decided not to entertain foolishness anymore.Wacha nimalize mjadala na hii picha tena.
Alafu nisign na hii video kwenye tweet.
View: https://twitter.com/Sativa255/status/1894874327079887358
Ok, ebu tuambie the leading hotel in Africa is from where? Unapinga kila kitu wakati hakuna kitu huwa unajua.Kichamganyikiwa kwingine bhana. 🤣🤣🤣
Mimi ndio niseme na sio wewe.? 🤣🤣🤣 nani ameleta hiyo discussion.?Ok, ebu tuambie the leading hotel in Africa is from where? Unapinga kila kitu wakati hakuna kitu huwa unajua.
Tena nyingi sanaa ilipaswa iwe japo 10k+wakitaka lifanikiwe kwa wakat wapunguze bei ya umeme na waondoe kodi au kupunguza kodi kwenye gas accordingly nje ya hapo tunatwanga maji kwenye kinu
refilling gas of 6kg ni around 25,000 bado ni pesa nyingi kwa maisha ya mtanzania