Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Wafanye kwani wameanza Leo? Umesahau December Nairobi walivyomfanyia Diamond? Tangu December mpaka Leo Diamond kaitwa kwenye private performance Mombasa kapewa deal la Airtel for the whole Africa na Jana kashinda Trace award for Africa! Na ka-release around 2 singles zinazofanya vizuri!Kick of a died horse (Kenya) Sasa hivi wanafanya njia zozote ili kuwachafua wasanii wa Tanzania.
View attachment 3252483