Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


I will bet you anything that Diamond does not know what that cap represents…. 🤣🤣🤣🤣… you wanna bet?mko hapa talking shit about US yet wasani wenu try too hard to roll in American hip hop vibe …Juzi niliona Harmonize amevaa LA 🧢 cap … hata yeye hajui hiyo ni nini ..🤣🤣…. Am not against imitation of American culture but ingekuwa Mkenya, Bongolalas would be asking why can’t they wear Gepa za Nairobi.
 
Africa's greatest city alafu ina vighorofa vi 5🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nairobi has three times the number of buildings over 30floors as Dar. Nairobi has more buildings above 20floors, actually it’s ten times.

IMG_1214.jpeg
 
Ni ufukara unawasumbua, harusi na sherehe zina economic multiply effects kubwa sana na zina chain refu of money circulation zipo kwenye category ya consumption category and partly individual category kati ya categories of taxes zinazoongoza revenues duniani, pesa inatakiwa kwenye circulations na ndio maana financial institutions zinaencourage spending
Si wanasemaga wao wana expenditure kubwa?
 
Tangu nikupee vichapo kuhusu Catholic Priests I can see you are now possessed with me.?
Victor, huna kichapo umenipa. Ilikuwa ni ngumu kuongea na mtu asiyejua chochote na ni waste of time, at least kama ungekuwa ni mtu unaye jipambanua kujua usiyoyajua. Hayo ni maisha nimeyaishi na kusoma so siwezi kuingia kwenye mjadala na mtu wa aina yako.
 
Ni ufukara unawasumbua, harusi na sherehe zina economic multiply effects kubwa sana na zina chain refu of money circulation zipo kwenye category ya consumption category and partly individual category kati ya categories of taxes zinazoongoza revenues duniani, pesa inatakiwa kwenye circulations na ndio maana financial institutions zinaencourage spending
You won't find this kind of BS of throwing money at the bride in serious countries that have shown tremendous societal progress. It's the typical black man's poverty mentality - the same that sees black people in America who live on food stamps lining up to buy the latest Jordans and iphones every year.
 
Huo upuzi wa kiafrika ndio unataka tuige? Huu upuzi utaupata nchi za ushuzi kama Nigeria na Tanzania. A wedding should be as brief as possible. Invite less than 50 people and get your wife.
Sio upuuzi nyie ni masikini na harusi zenu ni za kimasikini.
Ukisikia tu hata huyu demu anaongea unajua kuwa anashangaa na haelewi nini kinaendelea, anasema "kuna harusi ya bbibi harusi, harusi ya bwana harusi" but reality ni kuwa:

Inaanza Kitchen Party, wanawake watupu then Send-Off, then Wedding Party. Ila kwa walio wengine kuna zaidi yaani baada ya wedding party kuna Inner Party, hii ni wale waliofanikisha,
Hao wa Tanzania unaowaongelea ndio hawa wakundustan wenzako wanatamani wangezaliwa huko sababu ni party after party daily?


View: https://vm.tiktok.com/ZMkK298kA/
 
You won't find this kind of BS of throwing money at the bride in serious countries that have shown tremendous societal progress. It's the typical black man's poverty mentality - the same that sees black people in America who live on food stamps lining up to buy the latest Jordans and iphones every year.
The so called progressed societies are no different from Kenyans. Are societies that lived a difficult life and the biggest thing they have is the inherited infrastructure, and the nightmare of poverty and greed are still with them.
 
Sio upuuzi nyie ni masikini na harusi zenu ni za kimasikini.
Ukisikia tu hata huyu demu anaongea unajua kuwa anashangaa na haelewi nini kinaendelea, anasema "kuna harusi ya bbibi harusi, harusi ya bwana harusi" but reality ni kuwa:

Inaanza Kitchen Party, wanawake watupu then Send-Off, then Wedding Party. Ila kwa walio wengine kuna zaidi yaani baada ya wedding party kuna Inner Party, hii ni wale waliofanikisha,
Sasa wewe mzee na huyo msichana mdogo ambaye labda hata hajaanza kujitegemea nani yafaa amsikize mwengine? Stop being stupid.
Yani mambo ya strip clubs mnaleta kwenye harusi alafu mnajiona wababe?

Narudia, huo ni upuzi na unafanywa nchi za kimaskini tu. Hadi humu Africa nchi zilizopiga hatua kidogo kama SA, Botswana, Mauritius huwezi pata huu upuzi. Civilized weddings are brief and short. Mbwembwe nyingi hazina maana.
 
Back
Top Bottom