Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,238
- 33,471
So hao players umehighlight hapo na Watanzania? Mbona watanzania wote ni wajinga hivi?Shikangwa Gentris - simba queens
Wambui Elizabeth - simba
Akwino corazon - simba
Hawa ni 🗝️ player wa starlet
Yaani ulitakiwa uanze kwa neno la shukrani kwa Tanzania badala ya vijembe.
Hata hao waarabu walio wasimbua sisi tusha wapiga 5-0 huko kwao Tunis