Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya watafika huku lini? Au tusubiri mpaka kifo kiwatenganishe?
1740638628626.png




View: https://x.com/TuliaAckson/status/1894641165405696069
 
Victor, huna kichapo umenipa. Ilikuwa ni ngumu kuongea na mtu asiyejua chochote na ni waste of time, at least kama ungekuwa ni mtu unaye jipambanua kujua usiyoyajua. Hayo ni maisha nimeyaishi na kusoma so siwezi kuingia kwenye mjadala na mtu wa aina yako.
Ulitaka kudanganya nikakuexpose😂😂😂.

Alafu mimi sio Victor, and i’m not Kalenjin. So try again.
 
Back
Top Bottom