The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Huu ni uongo, kwanini unapenda kudanganya wewe.?
Hata tukiangalia chats za mziki kenya still marioo ako na shabiki wengi in kenya than bien.
Ni ukweli usiofichika kwamba bien alikua mkubwa, hata kabla marioo hajatoka, lakini mziki it is all about rotation. Sahii mziki wa marioo ndio uko kwene peak kuliko mziki wa Bien. Marioo enjoys the big fanbase in kenya than even in Tz. For instance hizi hapa chats za boomplay in kenya. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DGVUTa6thuY/?igsh=MXd1MG5zaHBybjdzdA==.. Hizi hapa chats za Audiomack. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/p/DF-3PCnsFUr/?img_index=1&igsh=dGM5dW5mam95MWpt. Album ya marioo “God son” inafanya vizuri kenya kuliko hata Tz.
Sasa top 10 huyo msanii wao hayupo, wakuu kuna baadhi ya mada tusiwe tunawajibu, ni ujinga.