Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Everybady sing!!
Mikono juu!!
Hiyo ndio performance ya wavumbistan. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Majamaa kwa performance ni zero. You can feel the difference here between Kenyan performance na yao na bado watabisha.
Bien has exposed these frauds. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Kundustan hamna nchi ilishajifia kitambo sana ila ukiwakuta na uongo kwenye mitandao aiseee utasema ni sawa na Singapore kumbe ni Burundi iliyo changamka
Unaongelea uongo wa mitandao alafu unashare tweet za Wakenya wakicriticize serikali yao. Tuseme unashare uongo ama niaje hujielewi? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 

IMG_6020.jpeg
 
Hivi kati ya Bien na Marioo mgani msanii mkubwa? Usinifanye nicheke. ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Hebu tuprove ukubwa wa Bien Vs Marioo.
Tatizo lenu mnaongea sana.

Let's start with YouTube.
Bien joined YouTube 2012 and these are the results
Screenshot_20250227-175950~2.png
Screenshot_20250227-175959~2.png




Let's see Marioo from Tanzania
Alijoin YouTube 2018
And these are results
Screenshot_20250227-180018~2.png
Screenshot_20250227-180026~2.png


Ok. Who is big and popular on YouTube?

Labda utasema oh! watz ni YouTube tu.
Ok, lets go to IG,
Huyu ni Bien
Screenshot_20250227-175846~2.png



Huyu ni Marioo! Ok nani mkubwa
Screenshot_20250227-175832~2.png


Endelea kuchekacheka sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20250227-175832~2.png
    Screenshot_20250227-175832~2.png
    1,011 KB · Views: 24
Back
Top Bottom